Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
Afya muhimu sanaaa!
Afya muhimu sanaaa!
Afya muhimu sanaaa
Ubinafsi ni wa kuupinga Kwa nguvu zote. Mtu anataka yeye ndo afanyiwe tu hivi na hivi. Anaruka kwenye maoni yake tu peke yake. Hafikirii kwamba nikae na mwenzangu nimuelezee vizuri kuwa napenda hili na hiki, Ili abadilike. Lakini solution kuu inayobakia ni uchepukaji tuu... Mwanamume asiyechepuke ajengewe sanamu lake Kwa kweli.Mungu azidi kutupa hekima.
Na kingine tusiwe wabinafsi; Kila mtu anawaza tu anataka afanyiwe moja, mbili, tatu. Hakuna anayewaza kumfanyia mwenzie mazuri; tunawazia tu mavuno, hakuna anayetaka kupanda mbegu kwa mwenzie.
Ngoma drooo, tuandae na mafyekeo kabisa yawe ndani. Ole wake arudi apitilize kuoga![]()


Same here, mzima??@Kelsea baby mic u
🙏🏿 nimekuelewa, tatizo wanawake wa siku hizi ni wabishi, lakini nimekupata mkuu.Hatutumii kama kigezo; but muelewe kuwa kuna mazuri na kuna mabaya/madhaifu. So ikija kwenye mabaya/changamoto, don't resort to cheating; ongeeni myajenge. Hakuna maisha yasiyo na changamoto.
Huyo mwanamke ni mgonjwa wa akiliMiaka ya 2014 niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja mwenye wivu sana alikuwa ni mchepuko mkoa fulani ambako nilienda kikazi , yeye alikuw anatak asione hata namba ya mwanamke yoyote kwenye simu yangu isipokuwa mke wangu tu, na nisipokee simu yoyote baada ya saa mbili usiku, yani alikuwa ni mtu wa kulalamika bila sababu za msingi.
Siku moja usiku baada mgogoro wa SMS nikijua tayari nimesha-solve tatizo na kila kitu kitakuwa sawa, ile nimelala usiku nikawa naota kama napigana usingizini ile nakuja kushituka nakuta mto puani mtu kanikalia usoni na mikono kaikandamiza na magoti yake, nikaparangana weh bila mafanikio (alikuwa ni mnene kidogo)........nikakunja mguu kwa nguvu ili nimpige na goti mgongoni nikawa nimefanikiwa maana alipiga ukunga akalegea nikawa nimejitoa.
Nilipomuuliza anadai "bora tufe wote tu, huwezi kunichezea mimi wakati nimejitoa sana kwako".........aiseeh nilimpiga kwa uchungu sana siku hiyo, maana ilikuwa nikitaka kuacha na-emagene jinsi ambavyo ningekuwa kwenye jeneza na jinsi ambavyo familia yangu ingenililia napata hasira na uchungu napiga tena. Asubuhi yake nilimpiga chini sikutaka hata maongezi.
WIVU UKIZIDI SANA ,SIO SALAMA KWENYE MAPENZI....hapo nawaza angeamua kutumia kisu sijui ingekuwaje tu.
Unaendeleaje Mr Vocha??? Vipi ulipata Matibabu,??Amina🙏🙏
Teh teh teh..............itakuwa baadhi tu ndiyo wanafanya, sisi wengine Kwa umri wetu tumebaki kuwa ndugu watazamaji, tunaogopa kufia kifuani 🙈🤪🏃🏃nyie ndiyo hatari ya Jiji
. Mnatafuta kabinti kabichiiiiiiiii Cha kuzunguka Nako.
Nameza nondo kimya kimya hapa 🙇!Ngoma drooo, tuandae na mafyekeo kabisa yawe ndani. Ole wake arudi apitilize kuoga![]()
Wanaume hamjawahi kuwa na sababu ya kueleweka kwene kuchepuka. Mke ndani ya nyumba anaweza kuwa hana shida yoyote lakini mwanaume anatoka nje bado.Tatizo wengi wenu mnajisahau sana kwenye ndoa.
Tupo tumejaa tele mkuu.Ubinafsi ni wa kuupinga Kwa nguvu zote. Mtu anataka yeye ndo afanyiwe tu hivi na hivi. Anaruka kwenye maoni yake tu peke yake. Hafikirii kwamba nikae na mwenzangu nimuelezee vizuri kuwa napenda hili na hiki, Ili abadilike. Lakini solution kuu inayobakia ni uchepukaji tuu... Mwanamume asiyechepuke ajengewe sanamu lake Kwa kweli.
Hajirembi tenaNi kweli, wanajisahau sana, kauli zinabadilika, msosi wanaanza kulipua, hata hajirembi kama zamani, wanatuonea tu.


Mwanaume akisema hachepuki; anaambiwa hana hela au ana upungufu wa nguvu....Mungu atusaidieUbinafsi ni wa kuupinga Kwa nguvu zote. Mtu anataka yeye ndo afanyiwe tu hivi na hivi. Anaruka kwenye maoni yake tu peke yake. Hafikirii kwamba nikae na mwenzangu nimuelezee vizuri kuwa napenda hili na hiki, Ili abadilike. Lakini solution kuu inayobakia ni uchepukaji tuu... Mwanamume asiyechepuke ajengewe sanamu lake Kwa kweli.
Sasa kaa tazama lile picha la yeye kupandishwa cheo. Anakuja kwako fastaaa kutaka ushoga eti muunganeUzuri na wenyewe huwa wanapandishwa vyeo pia


Sie wanaume watulivu tusio chepuka tunaonekana washamba sana.. ila uzuri maisha ni kuchaguaMwanaume akisema hachepuki; anaambiwa hana hela au ana upungufu wa nguvu....Mungu atusaidie
Heheh ushoga wa which, where, when? Kaa kwa kutulia na wewe uenjoy kupandishwa cheoSasa kaa tazama lile picha la yeye kupandishwa cheo. Anakuja kwako fastaaa kutaka ushoga eti muungane![]()
Simama bosiledi
Nipo hapa nisie chepuka .. Sanamu langu vipiUbinafsi ni wa kuupinga Kwa nguvu zote. Mtu anataka yeye ndo afanyiwe tu hivi na hivi. Anaruka kwenye maoni yake tu peke yake. Hafikirii kwamba nikae na mwenzangu nimuelezee vizuri kuwa napenda hili na hiki, Ili abadilike. Lakini solution kuu inayobakia ni uchepukaji tuu... Mwanamume asiyechepuke ajengewe sanamu lake Kwa kweli.
Nakusalimia mjomba!! Sijambo kabisa!Sie wanaume watulivu tusio chepuka tunaonekana washamba sana.. ila uzuri maisha ni kuchagua