Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,526
Na kongole nyingine umpe Bibi yako Kwa kuweza kunituliza 🤪🤪🏃🏃kongole kwako muheshimiwa. Upewe tunzo ya peke yako
.
Na kongole nyingine umpe Bibi yako Kwa kuweza kunituliza 🤪🤪🏃🏃kongole kwako muheshimiwa. Upewe tunzo ya peke yako
.
Wapo wanaume wengi tu wameamua kutokuchepuka. Ni vile tu tunapenda kuhalalisha uzinzi ndiyo maana tunaona kama haiwezekani kuchepuka na tunawavunja moyo wasiochepuka. Na kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili uliopo na kukosa hofu ya Mungu; ndiyo maana tunaona kama mtu asipochepuka basi ana matatizo. Na sisi Wanawake tunavyoabudu ndoa; we have been settling with serial cheaters in the name of all men cheat nonsense. Patheticwapo wengi tu wasio chepuka na wana kila kitu kinacho wezesha kuchepuka. Ukiona mabaya mengi pia mazuri ni mengi. Kuchepuka ni tatizo la akili zaidi na wala sio tamaa kama wengi mnavyo hisi.. Ukiona mwenza anachepuka inabidi akapimwe akili
For better for worse?? Hakuna mwanaume ambaye unamfanyia kituko once akahamia kwa mchepuko,,, lazima uwe na series za matukio hadi yeye mwenyewe anyanyue mikono juu,,,Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.
Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
Hongera Sana, tena hongera Sana. Nampa na hongera aliyevikwa PeteTupo tumejaa tele mkuu.
Ila hii mwanamke lazima uwe smart.Hajirembi tena![]()
Hivi sie tunaojua kupika mnatupenda kweli?eti unakuta sababu, chakula siku hizi ni kibaya. Toa mfano, ingia jikoni pika. Then sema mama watoto eeh waona Leo huu msoc nimeumiss sn mwenzio, kwani siku hzi una nini lakini??. Kiutani tuu
Tuongee?? na hao uliowataja kwamba they are so good on bouncing hadi shetani ana take notes??Hatutumii kama kigezo; but muelewe kuwa kuna mazuri na kuna mabaya/madhaifu. So ikija kwenye mabaya/changamoto, don't resort to cheating; ongeeni myajenge. Hakuna maisha yasiyo na changamoto.



Wapo, wenye hofu ya Mungu na utahayari wa kulinda ndoa zao au mahusiano yao...Mwanaume akisema hachepuki; anaambiwa hana hela au ana upungufu wa nguvu....Mungu atusaidie
Mmmh wanaume wa kupigwa series ya matukio wako wapi? Mbona unakula talaka mapema sana? Yaani mwanamke kosea tu kidogo, ushatafutwa mchepuko; ndiyo sembuse ulete maigizo?For better for worse?? Hakuna mwanaume ambaye unamfanyia kituko once akahamia kwa mchepuko,,, lazima uwe na series za matukio hadi yeye mwenyewe anyanyue mikono juu,,,
Yes, ni sahihiIla hii mwanamke lazima uwe smart.
Sio kwamba wanawake wana abudu ndoa. Tatizo lipo kwenye foundation. Mwanamke ni receiver, Mwanaume ana nafasi kubwa ya kumjenga mwanamke na kummbomoa. Mwanamke kuwa apendavyo mwanaume wake.. inabidi mwaume ajue anahitaji nini kutoka kwa mwenza wake then amjenge sawa sawa na na anavyotaka kamwe hato ona mapungufu kwa mpenzi wake. Shida watu siku hizi wanapenda viliyo undwa, sasa mie niki muunda mwanamke ukikaa nae wiki moja tu utakufa kwa pressure .. maana mtu wangu lazima awe mshari sana na ndio navyo muunda hivyo.. 😃😃😃 sasa huyo nikiachana nae atae kuja kukaa nae lazima aondoe ushari na aweke upole bila hivyo hawezi ishi naeWapo wanaume wengi tu wameamua kutokuchepuka. Ni vile tu tunapenda kuhalalisha uzinzi ndiyo maana tunaona kama haiwezekani kuchepuka na tunawavunja moyo wasiochepuka. Na kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili uliopo na kukosa hofu ya Mungu; ndiyo maana tunaona kama mtu asipochepuka basi ana matatizo. Na sisi Wanawake tunavyoabudu ndoa; we have been settling with serial cheaters in the name of all men cheat nonsense. Pathetic
Sasa si Ili na yeye apate wa kumtetea teh teh tehHeheh ushoga wa which, where, when? Kaa kwa kutulia na wewe uenjoy kupandishwa cheo
Kuchepuka sio dili kabisa ni jambo bayaNipo hapa nafatilia mjadala mubashara kabisa😀😀
Kama hakusikilizi mpe talaka, kamuoe ambaye atakusikiliza. Cheating is for the weak and cowards.Tuongee?? na hao uliowataja kwamba they are so good on bouncing hadi shetani ana take notes??![]()
Ndo nimeshawaambia vijana, wanaendelea kulichonga. Subiri hapo hapooNipo hapa nisie chepuka .. Sanamu langu vipi
Sijaoa, ndio nipo napita pita selfika humu naweza bahatika kupata.Hongera Sana, tena hongera Sana. Nampa na hongera aliyevikwa Pete
Apambane na hali yake tehSasa si Ili na yeye apate wa kumtetea teh teh teh
Wako kibao and hivyo ndo tulivyoumbwa,, but huwa mnatubadilisha prior walking down the aisleMmmh wanaume wa kupigwa series ya matukio wako wapi? Mbona unakula talaka mapema sana? Yaani mwanamke kosea tu kidogo, ushatafutwa mchepuko; ndiyo sembuse ulete maigizo?
Same to those who divorce their significant other!Kama hakusikilizi mpe talaka, kamuoe ambaye atakusikiliza. Cheating is for the weak and cowards.