Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika
20220614_073952.jpg
 
Ni afadhali hata kukitwa likisu la moyoni ukiwa umelala kuliko kumwagiwa maji au mafuta ya moto aisee.

Maisha ya hatihati!
Mmmh hapo vyote hakuna Cha afadhali. Mfano kisu kimetua lakini hakijakuua, si wabaki kuteseka na maumivu pia?. Ila watu makatilii, mtoto wa mtu wamfanya hivyo kweli? [emoji1751]
 
Katika vitu wenzetu Wanawake wako navyo makini ni hilo swala la kukimbilia bafuni ukitoka job, huwa wanahisi umetoka kuuza mechi huko [emoji2957]

Kumbe mwenzao unataka kuoga ili kuondoa uchovu wa kazi [emoji87][emoji125][emoji125]
Kwanza waanzaje kukaa tu bila kuoga?. Kuoga kwanza mengine yanafuatia[emoji13].
 
Back
Top Bottom