Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona imekuuma sana mkuu?? Hii bado haiondoi ukweli niliyousema kwamba:-

Kwa hapa Jf tabia ya mtu (iwe nzuri au mbaya) inategemeana na uwezowake mzuri au mbaya wa kuandika mada na comments tofauti na jinsi anavyoonekana huko uraiani kwa wanaomzunguka.

Hii mada mnaijadili kinadharia zaidi bila kangalia uhalisia wa jamii yetu mtaani huko.
Okay
 
Oya mwanangu Mad Max .. njoo tuchukue watoto wa kishua.. wamenona hatari.. tayari nimeishadaka mmoja
IMG_20220614_194610.jpg
 
Sidhani kama kuna mtu yoyote aliyetoa hoja kwa lengo la kum-attack mtu, me sijaona popote ila nilicho observe ni low self-esteem miongoni mwa wachangiaji.

Nilichosisitiza nikujadili mada kwa kuangalia mizizi ya hili tatizo kwenye jamii yetu na sio kupoint out jinsia......brabraa wanaume.....ohhh wanawake...ooh wanaume..... unless tuwe tunatafuta mshindi, kitu ambacho siwezi kushiriki.
Mmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.

Una hoja yako, bring it on the table In a peaceful way, tutajadiliana kwa hoja. Maisha unayoona nadharia, mwingine kwake ni reality, ndiyo uhalisia wake wa sila siku; DIVERSITY. So utu uzima ni pamoja na kukubali kuvisikia hata usivyotaka kuvisikia. Tujadiliane kwa hoja kama watu wazima. Hakukuwa na mashindano so sitegemei kuwa na mshindi wa chochote.
 
Yameisha mkuu.
 
Back
Top Bottom