Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Nkamuuuuu, kumbe ni tall dark guy? Em geuka kidogo.Nilitupia hii hapa nkamu
sophy27 unapitwa huku
Nkamuuuuu, kumbe ni tall dark guy? Em geuka kidogo.Nilitupia hii hapa nkamu
sophy27 unapitwa huku
UnaumwaNitarudia mrembo baadaye kidogo ngoja nitoke hospitali
Ndiyo best naumwaUnaumwa
Ahsante, na kwako piaMchana mwema wadau...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni wewe ndiye mwenye kumwaga hizi sifa nkamu???Nkamuuuuu, kumbe ni tall dark guy? Em geuka kidogo.
Aisee....Hivi kuna mabinti wa Kinyaki humu?
Maparachichi ninayo!
Njooni niwagusishe nalo!
View attachment 2259817
Kuna mtu alishika simu yangu nkamu, nishampokonya😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni wewe ndiye mwenye kumwaga hizi sifa nkamu???
Hizi siyo zangu wallah
Pole sanaNdiyo best naumwa
Jirani...... safi sana.
😂 😂
Kapige game, home inaisha chap..Naumwa best
Ahsantee
Lips 👌💕
Sijawahi kucheza mpira chief si nitakufa huko uwanjani??😅Kapige game, home inaisha chap..
Kha kweliSijawahi kucheza mpira chief si nitakufa huko uwanjani??![]()
Ahsante sana aunt🙏Pole sana
KabisaaaKha kweli
Aisee....