Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmmh madukani hakitakuwepo. Mie natafuta cha shougaa angu tonniah, kashona koti ile tenge aliifuma wapi sijui daaah.
😂😂😂😂🤣🤣🤣 ukitafuta unaeza kipata kile pia cha muda! Halafu ni cha muda kweli kilikua pande 3 mbili nilishona sketi na kishat nilichanganya na shifoni nyeusi saivi hata hazinitoshi kimebaki hiko kikoti ndio kinanitosha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukitafuta unaeza kipata kile pia cha muda! Halafu ni cha myda kweli kilikua pande 3 mbili nilishona sheti na kishat nilichanganya na shifoni nyeusi saivi hata hazinitoshi kimebaki hiko kikoti ndio kinanitosha!
Boss ledii[emoji91]
Tunaomba picha , breakfast ya Uzi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom