Kabisaa hali ya hewa na mazingira yanafanana kwa kiasi flani na kule kwenu
Kabisaa hali ya hewa na mazingira yanafanana kwa kiasi flani na kule kwenu
Baadae naweka usijali, nikiweka nakutag.Naomba sasahivi..
Hivi hauchoki tu kuombwa???
Umekaza mno Chief
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tunamshukuru Mungu, wote tupo salama kabisaMie mzima, habari za huko, familia, mmiliki wa jimbo wote hawajambo?
Nasikia siku hizi kuna baridi kali.Kabisaa hali ya hewa na mazingira yanafanana kwa kiasi flani na kule kwenu
Baadaye sitakuwepoBaadae naweka usijali, nikiweka nakutag.

Ni siyo sana ni kama ile ya Mbeya tuu
Basi kumbe kuna watu wanajilegeza tu,eti baridi kali.Ni siyo sana ni kama ile ya Mbeya tuu
Saint AnneNadhani kwa kua tumemaliza msimu wa joto kwa hiyo mwili haujazoea
Na selfie yangu hii hapa kwa leo
Kweli tena sababu siyo pana/mapana kutoka usawa wa kichwa
Ndiooooooo ndiooo mr vocha wabheja sana!!😘😉Nadhani kwa kua tumemaliza msimu wa joto kwa hiyo mwili haujazoea
Na selfie yangu hii hapa kwa leo
Geuka mbele mr Vocha!!😉😉Nadhani kwa kua tumemaliza msimu wa joto kwa hiyo mwili haujazoea
Na selfie yangu hii hapa kwa leo
Kabisa mr Vocha yani saa zimaaa!!!😘😜Utamsimulia Saint Anne
Mwambie ilikaa saa moja
Aah boss mwenyewe huyo..kumbe ndio uko mhendsamu hiviNadhani kwa kua tumemaliza msimu wa joto kwa hiyo mwili haujazoea
Na selfie yangu hii hapa kwa leo
Kumbe una kichwa kizuri hivi!Nadhani kwa kua tumemaliza msimu wa joto kwa hiyo mwili haujazoea
Na selfie yangu hii hapa kwa leo
Hata sijaelewaKweli tena sababu siyo pana/mapana kutoka usawa wa kichwa
Kwema lakini mkuu
Kabisa mr Vocha yani saa zimaaa!!!![]()
alitaka kunihujumu.Mweeh!Utamsimulia Saint Anne
Mwambie ilikaa saa moja
Na wewe upo best?Aah boss mwenyewe huyo..kumbe ndio uko mhendsamu hivi