Kama cha kwako😁
Kama cha kwako😁
Hongera boss ladyUmeonaa ehhhh !! Nilikua sijawahi kumbahatisha mjep asee leo Mungu amekua upande wangu!!! Mjep kumbe uko handsome hivi doh!!
Yesu na Maria; yaani pamoja na mention bado nimepitwa


Irudiweeee irudiweeeeHongera boss lady
Mbona naselfika sana humu
Utakua umesahau tuu
Na wewe ujiselfishe best
Pole nkamuYesu na Maria; yaani pamoja na mention bado nimepitwa![]()
Nkamuuuuu.Pole nkamu
Na imekaa kama nusu saa hivi
Muombe Khantwe akusimulie ilivyokua
Tena kitu live bila chenga😅
Dah nimecheka hatari!
Au anaoa kabisa.
Hela zikiisha na mke mdogo anaondoka anabakia na wake wakubwa waliohangaika kulima hiyo pamba aliyoolea. Wasukuma bana dah!


Alafu hamaliz miez miwili sasa elahana na Msimu wa kulima unkuwa umeanza
ShangazShangazi???
Mkwe ukiamka niiteUbaya sasa asubuhi mi ndo najiandaa kulala![]()
Hebu rudia bhnaUtamsimulia Saint Anne
Mwambie ilikaa saa moja
Kweli etiNkamuuuuu.
Haijakaa nusu saa hata
Sawa, naisubiri.Kweli eti
Wewe fatilia hizo quote tu huko juu
Hata mdogo wako Saint Anne ni shuhuda
Nitarudia tena baadaye nkamu
Nitarudia mrembo baadaye kidogo ngoja nitoke hospitaliHebu rudia bhna
Nipo jamani, nimekuhamu pia nashukuru nimekuonaNa wewe upo best?
Umetokea wapi ghafla hivi?
Nimekuhamu sana
Usisahau kuselfika
Pole unaumwa au unauguza?Nitarudia mrembo baadaye kidogo ngoja nitoke hospitali
Naumwa bestPole unaumwa au unauguza?
Pole sana nkamu; get well soon.Naumwa best
Ahsantee
Ahsante sana nkmau🙏Pole sana nkamu; get well soon.
Kitu cha live bila chengaNilitupia hii hapa nkamu
sophy27 unapitwa huku