Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Weka mtoto mzuri, Anne ni jirani yangu, kama ilivyoandikwa mpende jirani yako kama unavyojipenda basi ukiweka tu ujue kaipata.Thank you Anne.
Sawa, ukiwa online naweka picha yangu.
Weka mtoto mzuri, Anne ni jirani yangu, kama ilivyoandikwa mpende jirani yako kama unavyojipenda basi ukiweka tu ujue kaipata.Thank you Anne.
Sawa, ukiwa online naweka picha yangu.
😄😄😄Weka mtoto mzuri, Anne ni jirani yangu, kama ilivyoandikwa mpende jirani yako kama unavyojipenda basi ukiweka tu ujue kaipata.
Nakushukuru sana chiefHii app hii yaani. Nilitaka kukukwoti pamoja na Coca lakini naona haikubali.
Mahali pazuri pa kuanzia ni kwenye channel ya huyu Mtanzania ambaye amejikita katika mambo ya scholarships pekee. Huwa anajibu maswali yote kwa ufasaha na kama ni kulipia subscription katika hiyo channel naweza kuwafanyia hivyo bro.
Kumbuka tu kila kitu ni transparent kwenye website na mara nyingi hakuna ishu za kutozana pesa kwenye application na ishu kama hizo japo nadhani kuna mitihani ya kufanya kwa graduate schools nyingi.
Link ya hiyo channel hii hapa:
Habari za asubuhi bossAh wapi![]()
Nzuri tu vipi weweHabari za asubuhi boss
Umenikana mara 3 kabla jogoo hajawika![]()


Nami nimeamka salama kabisa namshukuru MunguNzuri tu vipi wewe
Umeamkaje wewe ?
Sijakukana![]()
Jambo jema hiloNami nimeamka salama kabisa namshukuru Mungu
Selfika basi bado wamelala wakiamka wanaambulia manyoyaJambo jema hilo
Umependeza mpwa!!Good morningView attachment 2260042View attachment 2260043
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Good morning beautiful AnneGood morningView attachment 2260042View attachment 2260043
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Leo sina picha rafikiSelfika basi bado wamelala wakiamka wanaambulia manyoya
KabisaFanya yooote lakini tako letu usiliguse!![]()
Tupia nioneweeeeeehhh!! Washendweee!! Nimeambiwa na big boss nipungue ili nibebeke shos!; Sema kuna kagauni nikikavaaga nakua kama katoto sijui kwakua chini ni ka solo,
Asante.Umependeza mpwa!!