Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ni jumpsuit ila gauni inajitegemea na trouser ndani inajitegemea
Sema sina picha yake iliyokaa vzr
Nitairudia uione
Jump suit, ni kareee.
Nyie juzi nilienda kwa fundi, kuangalia anavyoshona, kheeeh alipofikia yaan nkajisemea mambo ndo haya sasa.

Lazima nitetemeshe uzi, mtake msitake,
Mustard yellow woyeeeeeeeeeeeeeh, color 1 ya kibabeeeeee.
 
Woyeeeeee.

Juzi kuna nyingine nilikutana nazo mtandaoni huko, nikakukumbuka mama hekaheka
 
Poa Boss Lady. Mi niko poa kabisa. Mwalimu mwenzio hapa niko nasahihisha mamitihani na kusoma madissertation ya watu ili wafaulu wapate mashahada ya uzamivu huko!

Wasukuma yaani aibu tupu safari hii. Jimbo limekuwa wazi karibia huu mwezi wa tatu sasa na wamepewa nafasi ya upendeleo sana. Sasa hata sijui wanakwama wapi yaani. Akina Wige waje wajitetee!

Nice to have you back!
Kheeeeeh unawafundisha njukaz wa uzamivu? Babuuuuh nifanyie mpango nizamie huko niwe nawapiga brushi wa uzamili.
 
Safi sana msukuma na Hongera pia nafurahi sana kukuona tena msukuma!
Kwakweli sijui wanakwama wapi hadi jimbo Naona lishapata mshindi!😘
 
Woyeeeeee.

Juzi kuna nyingine nilikutana nazo mtandaoni huko, nikakukumbuka mama hekaheka
Uwage unachukua bhana,
Ila mustard yellow ni nyokooooooooh. Yaan ile nikiiweka mwilini lazima niuzee.

Fundi anauliza rangi alikuchagulia nan na huu mshono umeutoa wapi? Anauliza nae ni fundi,. Nkamuambia wee hebu toa kitu, angekua fund ningeleta kwako?

Yaan anachachawa mnooooo,
 
Kheeeeeh unawafundisha njukaz wa uzamivu? Babuuuuh nifanyie mpango nizamie huko niwe nawapiga brushi wa uzamili.
Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.

Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?

Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.

Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.
 
Uwage unachukua bhana,
Ila mustard yellow ni nyokooooooooh. Yaan ile nikiiweka mwilini lazima niuzee.

Fundi anauliza rangi alikuchagulia nan na huu mshono umeutoa wapi? Anauliza nae ni fundi,. Nkamuambia wee hebu toa kitu, angekua fund ningeleta kwako?

Yaan anachachawa mnooooo,
Mwambie fundi apunguze kuchachaww, mambo bado mabichiiii
 
Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.

Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja ni nzuri zaidi.
Nikionaga Stanford udenda unanitoka ni chuo pekee duniani ambacho nakipenda hadi kesho.. ila basi ndoto zenyewe zisha shift sana.. tutajiendeleza humu humu kibabe babe..
 
Nataka kusikia kutoka mdomoni mwako Binti Abiud.

Ni kweli jimbo limeshatwaliwa na akina nshomile? Wasukuma tutaweka wapi nyuso zetu na majigambo yao yale?

Twafa bojooo
Chonka bojo wasukuma mwabaki si?? mjomba
_King kuna nshomile hapa alikua juu ya mipain na mikaratusi yake akajiselfii nakutupia tsap nikuoneshe???🤣🤣🤣🤣!!
 
Back
Top Bottom