Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Sisi tuko salama kabisa jirani angu, sijui nyie huko?Hi! 👋👋 jirani wa nguvu.. toka asubuhi hatujasalimiana
Sisi tuko salama kabisa jirani angu, sijui nyie huko?Hi! 👋👋 jirani wa nguvu.. toka asubuhi hatujasalimiana
😀😀 nakuaminia baba pasta
Hapa amani kabisa jiraniSisi tuko salama kabisa jirani angu, sijui nyie huko?
Shangazi Nakazia hilo msukuma!! Selfika ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!Marahaba binti yangu.
Nina mabinti wengi sana hapa. Tena warembo kweli kweli. Nimechoka kusubiri sasa aisee.
Baridi safi sana na kahawa15 ° c - njombe View attachment 2259487
Kama kweli hebu weka short list ya majimbo wazi😂😂😂Shangazi Nakazia hilo msukuma!! Selfika ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!
Hata shangazi hapa amechoka kusubiri Vijana Fanyeni mambooooozzz pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Na michango ya harusi haitakuwa shida. Wanaselfika wote hapa tukichanga tunapata hata milioni 20+.Shangazi Nakazia hilo msukuma!! Selfika ni!
Hata shangazi hapa amechoka kusubiri Vijana Fanyeni mambooooozzz pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Wanajijua Mjombaa!!! Chocheachochea kuni humu kuni tule ubwabwa wa selfika siee!!Kama kweli hebu weka short list ya majimbo wazi![]()
Certification zangu, nilifanga eLearn security, Offensive security, sasa hivi kwa kitu nachotaka kufanya nataka nisogee kwa hizi E-counsil pamoja Isaca na baadhi yao ambao wapo trusted na Gv agency nyingi iki kujisogeza hukoNshomile ni nshomile tu unaambiwa. Huko ulikokimbilia ndiko kwenye pesa sasa kwa sababu ndiko dunia inakoelekea. Hata kwa ujuzi ulionao sasa hivi ukifika hapa na kujipiga msasa kidogo haki ya nani makampuni watakugombania na pay ni kuanzia $150K+/year plus performance bonuses.
Stanford wanakula sahani moja tu na hao big boys wengine sema tu kila chuo kinajipambanua zaidi kwa program moja au mbili mashuhuri.
Stanford ndo kimetuletea akina Sergey Brin (?) waanzilishi wa Google...
Alayna mzigo huo🤣🤣View attachment 2259489View attachment 2259490View attachment 2259491View attachment 2259492
Chagua moja hapo tucheki yaani 😬😬😬😬😬😬 kama tunatoboa au laah..
Amen amen!!!Na michango ya harusi haitakuwa shida. Wanaselfika wote hapa tukichanga tunapata hata milioni 20+.
Inshallah mwaka huu usipite bila kuwana harusi ya wanaselfika!
😄😄 Majirani tupo 🔥🔥🔥 kwa neema ya Mungu.. ni vichwa na sio mkiaEwaaa, no wonder ni jirani yangu😂😂
Na Mambo yetu Yale ,, tunaenda ludewa kwenye ule mchakato wa maweBaridi safi sana na kahawa
Hivi wamama shangazi ndio hatupewi zawadi kwani anko??????










!!!Uko vizuri Baba Mchungaji. Mwenyewe ningekuwa bado kijana ningebadili upepo sema sasa miaka imeenda sana. 76 labda nifanye tu kama hobby na kubakia sharp mentally lakini siyo kwa ajili ya kupiga pesa japo pia inawezekana...Certification zangu, nilifanga eLearn security, Offensive security, sasa hivi kwa kitu nachotaka kufanya nataka nisogee kwa hizi E-counsil pamoja Isaca na baadhi yao ambao wapo trusted na Gv agency nyingi iki kujisogeza huko
Mtamaliza mwaka.. 😄😄 Gairo mji wote umehamia mgodini.. tutayajenga hata kuuza technology kwa wadogo wadogo ni fursaNa Mambo yetu Yale ,, tunaenda ludewa kwenye ule mchakato wa mawe
Saiv mzee ukitaka uingie huko jikite katika kutengeneza COMP VIRUSUko vizuri Baba Mchungaji. Mwenyewe ningekuwa bado kijana ningebadili upepo sema sasa miaka imeenda sana. 76 labda nifanye tu kama hobby na kubakia sharp mentally lakini siyo kwa ajili ya kupiga pesa japo pia inawezekana...

Tunashukuru Mungu, ametufumbua macho ya kuona tunapo enda. Unaweza fanya una deploy technology unaweka vijana wanafanya kazi unawasimamia unakuwa na ABC zakeUko vizuri Baba Mchungaji. Mwenyewe ningekuwa bado kijana ningebadili upepo sema sasa miaka imeenda sana. 76 labda nifanye tu kama hobby na kubakia sharp mentally lakini siyo kwa ajili ya kupiga pesa japo pia inawezekana...
Ukishakuwa mzuri kwenye Reverse Engineering automatic hiyo inakuwa rahisi sana.. alafu VIRu ni rahisi kumtengeza isue uwezo wako ukojeSaiv mzee ukitaka uingie huko jikite katika kutengeneza COMP VIRUS![]()