Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Wasukuma siyo wabahili. Tena umfume ameuza ng'ombe zake au pamba mbona utafaudu. Sema tu labda pesa zao ni za msimu. Zikiisha ndo zimeisha mpaka tena msimu ujao [emoji16][emoji16]Sukumas tatizo inaonekana wabahiliiii hapo mbona utaibuka kidedea waitu hapana chezea nshomile Wewe!!
Hahahahaha!!!Wasukuma siyo wabahili. Tena umfume ameuza ng'ombe zake au pamba mbona utafaudu. Sema tu labda pesa zao ni za msimu. Zikiisha ndo zimeisha mpaka tena msimu ujao [emoji16][emoji16]
View attachment 2259581
Hello Monday to everyone here 🥂
Pamoja sana ..Njema kabisa mkuu jioni njema na kwako boss
Hello Mjukuu✋Helloowww babuu!!✋
Kipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha
Unedumaa vidole mdogo wetu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijui nna tatzo lipi, kucha hazikui,
BagheshiScholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?
Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.
Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.
Huku vijijini huwa hatuna bajeti za unga..Kwa ulaji huo utafanya nikuulize siku utakazokuja kukaa huku Kijijini ukija kunitembelea Babu yako wakati wa Likizo, huchelewi kumaliza debe zangu za unga[emoji2957][emoji2957][emoji87].
Babu yako nimepata mavuno hafifu Mwaka huu, juzi bei ya debe Moja la Mahindi kwenye gulio la Kijiji ilikuwa shilingi 12,000Huku vijijini huwa hatuna bajeti za unga..
Mahindi yapo ya kutosha.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Washaingiza madame
Nilikukosea niniDaddy shkamoo
[emoji3][emoji3] wafanye namna tupate mialiko jamani
Kipi hujasikiaUnasema???
Baridi la njombe ni noma nikienda naweza nisioge wiki [emoji41]Makoti yapo karibu
Kahawa na naniliuBaridi safi sana na kahawa
Kujua jimbo gani lipo waziKama kweli hebu weka short list ya majimbo wazi[emoji23][emoji23][emoji23]