Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena bora umenikumusha shanga nataka kufumua hili wiving la kibibi sijui nisuke nywele gani Saint Anne cocastic mnisaidie nywele nzuri zitakazinipendeza Saivi nywele zangu zimekatika mbele balaa

Hivi hukulifumua kipindi kile?

Weave ziko nyingi inategemea wewe unapenda staili ipi

Ila kwa kazi yako ningeshauri uweke nywele fupi
 
Back
Top Bottom