Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!!Ah hatuna stress sie
Selfika idumu![]()
Idumu mileleeeeeeeee!!
Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!!Ah hatuna stress sie
Selfika idumu![]()
Tena milele yoteeee, watu hapa ndo uwanja wa nyumbanii.Ah hatuna stress sie
Selfika idumu![]()
Nakuaminia shos hujawahi niangushaa!!😘😘Usijar bhanaaa, mbna wee ukitupiaga vile unawaka sanaaa tyuuh.
Unataka za mtumba au dukani?Hebu nitajie na mie bas, sitaki official, nataka casual tyuuh.
AmenIiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!!
Idumu mileleeeeeeeee!!
Zote zote tyuuh.Unataka za mtumba au dukani?
Kuna suti fulan ile unakua km Ms Prezidaaa, unanimalizaga mnoo, afu kile kitenge nimetafuta wee nimekosa.Nakuaminia shos hujawahi niangushaa!!![]()
Nilizokuja nazo miaka hiooo naanza kazi zotee nishagawaa sina hata hamu ya kununua nyingine mazingira yanalimit hatari!! Kijijini haswaaa!!Hebu nitajie na mie bas, sitaki official, nataka casual tyuuh.
ipi hio shos akee ebu nelekeze ilivo!!!Kuna suti fulan ile unakua km Ms Prezidaaa, unanimalizaga mnoo, afu kile kitenge nimetafuta wee nimekosa.
Amen dearTena milele yoteeee, watu hapa ndo uwanja wa nyumbanii.
Kuna koti fulan huwa unavalia had suruali zinginee, ile tenge nimekubali mnooo.ipi hio shos akee ebu nelekeze ilivo!!!
Kwanza uko mkoa gan, hebu nitajie hata kuleeeNilizokuja nazo miaka hiooo naanza kazi zotee nishagawaa sina hata hamu ya kununua nyingine mazingira yanalimit hatari!! Kijijini haswaaa!!
Umenichekesha Sana ulivyosema matakoni mwa nchi yetu ingawa sijakupata vizuri unamaanisha ni Dodoma au wapi tena?Mi mwenyewe mshamba tu mkuu nipo huku matakoni mwa nchi yetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Haswaaaaah yaan.Amen dear
Humu kuna kila kitu
Best thread ever
Acha tu mkuu!!! Nishakua mwananzengo wahuku ikitokea nimeenda kusalimia Ndugu Zangu ni wananichekajeee hadi rafudhi ya kijijinijijini Uwiii!!Umenichekesha Sana ulivyosema matakoni mwa nchi yetu ingawa sijakupata vizuri unamaanisha ni Dodoma au wapi tena?
Mie humu kinachonikosha zaidi nii hii familyhood !! Yani watu wapo so relaxed kama familia achilia wachache tu wanaoivuruga!!Haswaaaaah yaan.
😁😁Weka picha ya kiuno tuhakiki kama ni wa kawaida.
Hili gauni/sketi lazima nikupore." Though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not delay".View attachment 2258049
Mie humu kinachonikosha zaidi nii hii familyhood !! Yani watu wapo so relaxed kama familia achilia wachache tu wanaoivuruga!!






mie nikiwepo kat ya hao wavurugaji, tena ndo kiongozi unaambiwaa. Uwiiiii ila JF jomonee.