Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,189
Weeeehhh hapana bana wewe mtu peace sijawahi ona! Hauna mbambambaa kabisa!!!mie nikiwepo kat ya hao wavurugaji, tena ndo kiongozi unaambiwaa. Uwiiiii ila JF jomonee.
Anyways! Selfii ziendelee!!
Nasubiria suti yako nikurushie kama picha zitakuepo mie nipe maelekezo



