Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,503
- 18,952
Nifafanulie mkuu kidogo!Kabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
Nifafanulie mkuu kidogo!Kabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
Hehehe haya mzee
Na wazee sijui tutasemaje!
Umenifanya nikasonge ugaliView attachment 2258316
View attachment 2258319
Tule kwanza kabla hatujamwagilia moyo na
Hello weekend to everyone one here![]()

Nimefanyaje tena sis darling! Nime -appreciate tu jamani.Uache basi mambo yako
Sawa, yameishaNimefanyaje tena sis darling! Nime -appreciate tu jamani.
Njoo ule na Babu yako hapa, bado hakijaisha 🤪
👋👋
Jirani jana nilikuwekea oda ya mambo yako Cate, hukutokea.Jirani yangu wa nguvuu Heaven Sent 👋👋.. leo ibadani viunga vya dodoma hapa sijakuonaView attachment 2258447
😄😄😄😄 Leo jirani siruhusiwi kuonekana baada ya ibadaJirani jana nilikuwekea oda ya mambo yako Cate, hukutokea.
Nikuone kwa chini basi😂😂😂
Abeeeeee, haya jirani😄😄😄😄 Leo jirani siruhusiwi kuonekana baada ya ibada
Nakusalimia bhanaacha tu mambo haya![]()

Huko chiniJirani jana nilikuwekea oda ya mambo yako Cate, hukutokea.
Nikuone kwa chini basi![]()


Kiatu😏😏😏Huko chini
Uone nini![]()
anaweza soma metadata hana mada na humu 😄😄