Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mama JNaomba Kiuno nyigu please!!
Mama JNaomba Kiuno nyigu please!!
Mama malezi nifanyie wepesi bas.
Sanaaaaaa!! Leo watu wamepost miguu yao ya bia hatareeeeee!!! Mie tu ndio nna milonjoo shos!!Nimepitwaaaaaa!!!
Mwalimu gani una mkono nyororo hivi?
Au mwalimu wa chuo??
Siyo shule zetu hizi za vidumu na mfagio ambazo walimu tunashika chalk hadi vidole vinaomba poo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nilisema kitambo sanaUmesemea wapi jmn.
Naomba Kiuno nyigu please!!

Sema kwanza ,Jinga sana kesho njoo goba unywe supu na posho juu, walimu posho ni kitu cha kawaida sana..
Halihusiani na nyigu za nyumaa !!
Naomba kuona fito ee😅Sanaaaaaa!! Leo watu wamepost miguu yao ya bia hatareeeeee!!! Mie tu ndio nna milonjoo shos!!
Mkuu, haya mambo huwa yanakuja tu...😀Haha nakufahamu wewe ni Guru mkuu usimnyime kijana uzoefu
Naomba kuona fito ee😅
Weeeee mnicheke mie🤣🤣🤣🤣🤭🤭!! sitakiiiiiii💃Naomba kuona fito ee😅
Lakini sio saanaa, wewe Legendary sana kwenye tasnia hii mukuluMkuu, haya mambo huwa yanakuja tu...😀
Hata sie wazee huwa tunachezea za mbavu tu.
Wow!
Kuna watu wanapenda fito mbaya kabisaaWeeeee mnicheke mie🤣🤣🤣🤣🤭🤭!! sitakiiiiiii💃
Halihusiani na nyigu za nyumaa !!







