Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Maduara manne .. hatari sana 🔥🔥Audi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Maduara manne .. hatari sana 🔥🔥Audi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mzee wa AudOyaaa mwangu Mad Max ... tufanye yetu View attachment 2257637
Audi unyama sana.. Askari wanaziogopa wakikuta umesipiga M3 ni moto .. Q5 Sport line ni 🔥🔥🔥.. Mungu akujalie mkuu upate harakaMzee wa Aud
Siku Mungu akiniamsha nimeokota Miela nitalinunua li Q5
Napenda sana hiyo kitu
Kwani watu wana selfika hadi happyHongera sana mkuu, naona umefurahi sasa. Karibu tuendelee kuselfika.
Tuendelee na lengo la uziKwani watu wana selfika hadi happy
Amin🙏🙏🙏Audi unyama sana.. Askari wanaziogopa wakikuta umesipiga M3 ni moto .. Q5 Sport line ni 🔥🔥🔥.. Mungu akujalie mkuu upate haraka
Mama J mbona mpambe?😁Hurrrrrayyyyy kwa vibonge hurrrrrayyyyy [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!kwa kuangalia tu najua huko mna hali mbaya!! santo sana madam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Hannah wewe kwa uzuri ni nyokkkooo !! wewe ni Habare nyingine!!
Kuna njia huwa unapokea pasi za moto then unazipoza nimependaAsante sana Kaka
Habari za muda ?
Kinyama,,, [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@tinsley yuko smart kichwani
Ah Asante
Vipi habari yako?
Unakosa hata na cha kuendelea,,, then huwa ni simple and clear,, anakuacha njia panda hujui uende kulia au kushotoUnaingia na moto yeye anakuja na ndoo ya maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tinsley
🤣🤣🤣🤣🤣uzuri huwa anajua kifuatachoUnakosa hata na cha kuendelea,,, then huwa ni simple and clear,, anakuacha njia panda hujui uende kulia au kushoto
Mwalimu gani una mkono nyororo hivi?