Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sitaki maneno asee naomba nikapike pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Kuna wanawake ukiwaacha ni unakua umepoteza shilingi chooni ujue you are one of them bosi ledi!! Umebarikiwa kuliko kawaida na huringi sasa!!!!!






















!!Huku nikiendelea kutafuta picha,,toa basi ule mkoba boss ledi.Sawa!
Naenda kupika saivi badae Ukiweka nistue!!Huku nikiendelea kutafuta picha,,toa basi ule mkoba boss ledi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Heee!!Naenda kupika saivi badae Ukiweka nistue!!

Kaka Umependeza sema Ungeipiga pasi hio nguo wenawe!!
Jirani😎Jirani 😁😁
Nasubiri usogeze ule mkoba jamani.Weka hio ulomtafutia bosi ledi mama la mamaa tupo pekeetu!!
Mimi?????? mkoba?????!!!! Tangu juzi sijaweka selfii umemix files bi mdashi!!! Madam bosi ledi ndio ameweka shepu imefichwa na mkoba ukamuomba atoe mkoba!
Nilimaanisha nasubiri atoeMimi?????? mkoba?????!!!! Tangu juzi sijaweka selfii umemix files bi mdashi!!! Madam bosi ledi ndio ameweka shepu imefichwa na mkoba ukamuomba atoe mkoba!

Naona hali ya baridi kipindi hiki ni koteee!! !! sweta nimelielewa sana bro!Slim daddyView attachment 2257578
Jirani sijasikia neno "mama kijacho"..Jirani😎
Mungu aendelee kuwalinda.Asante dear![]()
Warembo wa JF 😋Jioni tuliiiiiivuu kabisa!!View attachment 2257598
Nikuone nawewe mkuu!! Sisi warembo wa selfika!!! Hakika selfika imejaaliwa wakaka wakarimu na wadada vyumaa!Warembo wa JF 😋