Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,773
- 256,796
Karibu ......Wow!
Tukaribishane..
Karibu ......Wow!
Tukaribishane..
Hii ni kibongobongo??
Nishakwambia unaanza kuweka nyigu then naweka bila mkoba!
Unawafahamu wa Machame wewe?Weeeee fito hazina na mwili kabisaaaaa wanaita miguu ya kichaga🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Nishakwambia unaanza kuweka nyigu then naweka bila mkoba!

Sanaaaaaa!! Leo watu wamepost miguu yao ya bia hatareeeeee!!! Mie tu ndio nna milonjoo shos!!







hebu twende turkey tukafanye sajaree, shougaaaa nawee tunakwama wapi? Sahivi mambo mepesi tyuuh.Unawafahamu wa Machame wewe?
Ndyooooo!!!!!
Enhee....Kande.![]()
hebu twende turkey tukafanye sajaree, shougaaaa nawee tunakwama wapi? Sahivi mambo mepesi tyuuh.
Aaah wapi, sote tunajua kitanzania ni ..... na ....









wee mie sitaki ntaangusha cm hapa, nkajua ni samaki nguva, kumbe ni umbo la mtu, alikupiga picha nan? Khaaaah.Hatareeeh.Enhee....
Wachaga wa machame wamejaaliwa sana migu ya bia.Mie nasikia tu niwafahamie wapi mie mlugaluga!!
Twendeeeee bhanaaaaa.Hakiii twende shos angu twende!





Chaaaawee mie sitaki ntaangusha cm hapa, nkajua ni samaki nguva, kumbe ni umbo la mtu, alikupiga picha nan? Khaaaah.







