CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
It's like ana anticipate your moves and anakuja na perfect intervention,,, utajua hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uzuri huwa anajua kifuatacho
It's like ana anticipate your moves and anakuja na perfect intervention,,, utajua hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uzuri huwa anajua kifuatacho
Daka fursa mwanangu😆Mwalimu gani una mkono nyororo hivi?
Au mwalimu wa chuo??
Siyo shule zetu hizi za vidumu na mfagio ambazo walimu tunashika chalk hadi vidole vinaomba poo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwamba unaishiwa maneno? Unaishiwaje maneno ukiwa pembeni ya bidada..Unakosa hata na cha kuendelea,,, then huwa ni simple and clear,, anakuacha njia panda hujui uende kulia au kushoto
Sio kwa T,, unaishiwa na kama mtaendelea but ni out of contextKwamba unaishiwa maneno? Unaishiwaje maneno ukiwa pembeni ya bidada..
Haha nakufahamu wewe ni Guru mkuu usimnyime kijana uzoefuHapana simpi..😅.
Ukitaka cha uvunguni ..
Sina lengo hilo,, but she's something else one of a kindMpe kijana namna ya kufungua codes za Tinsley mkuu
Nipo shouga .Miss you cha ukorofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaa!!!
Nilishaidaka kitambo[emoji38].ila siyo humu.Daka fursa mwanangu[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kuna laba kali paleeeKitu cha karume hicho kipenzi[emoji16]
Sio mbaya akikupa hata ushirikiano japo wa out of context nenda naye then utamrudisha kwenye line panapo majaaliwaSio kwa T,, unaishiwa na kama mtaendelea but ni out of context
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji120][emoji120][emoji8]shouz
Mmh kimya kimya mwanangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh kimya kimya mwanangu?
Umesemea wapi jmn.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisema,au haukusikia?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Naomba Kiuno nyigu please!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisema,au haukusikia?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimepitwaaaaaa!!!Wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhh!!!Mama pasta huyooooo!!! Umepiga penzi ama nene![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] pendeza sana!!