Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Naona Ke wanafunguka vile wanatuignore, Mungu hata hapendi!!

Eroni, mzima wewe??
Naona Ke wanafunguka vile wanatuignore, Mungu hata hapendi!!

Tutaacha rafiki
hahahahahaha,we mtataMimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.
Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
Yani natamani ningeumbwa nahuo moyo mimi wangenikoma ila sasa! siweziiii!!Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.
Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
okKuna ulazima wa ku ignore mimi na Jeuri yangu naweza mpotezea mtu kuanzia pm mpaka jukwaani sifungi pm na sms zake sijibu.kuna mmoja aliniuliza mbona umefunga pm yako nilimpa jibu naziona sms zako ila sioni ulazima wa kuzijibu mpaka leo hakuwahi tena kunitafuta.
Kwakweli hiki ni kipaji cha kuzaliwa. Wewe haujazaliwa hivyo dear.Duh! Kuna muda natamani ningekua kajeuri hivi ila sasa ndio siwezagi
hahahaha,nilitaka nije kusalimia pm,ila basi kumbe uko hivyoYani natamani ningeumbwa nahuo moyo mimi wangenikoma ila sasa! siweziiii!!
Kweli ni kipaji, naamini watu hawakuonei kirahisi.Kwakweli hiki ni kipaji cha kuzaliwa. Wewe haujazaliwa hivyo dear.
usiwe hivyo.tutaogopa ht kusalimiaDuh! Kuna muda natamani ningekua kajeuri hivi ila sasa ndio siwezagi
Unakuta mmezinguana kwenye uzi, mods wakaanza kufuta comments maana yake hapo mkiendelea mnapigwa ban. Au wakati mwingine uzi unafungwa kabisa au unafutwa.Watu wa namna hiyo wanashangaza sasa mtu anakuja hadi Pm ili iweje sasa, ni ushamba tu

😁😁😁😁Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.
Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
Rafiki mimi ni mpole sana huwa naonewa muda mwingine nataman ningekua kajeuri lakini ndio sijaumbwa hivyo sasa.usiwe hivyo.tutaogopa ht kusalimia
Sasa ndio umeona unitangaze hapa 🥲🥲Kuna ulazima wa ku ignore mimi na Jeuri yangu naweza mpotezea mtu kuanzia pm mpaka jukwaani sifungi pm na sms zake sijibu.kuna mmoja aliniuliza mbona umefunga pm yako nilimpa jibu naziona sms zako ila sioni ulazima wa kuzijibu mpaka leo hakuwahi tena kunitafuta.
Dahhh nimeishiwa nguvu kabsa hapaPM wamefunga mzee alafu hawanijibugi
KumbeUnakuta mmezinguana kwenye uzi, mods wakaanza kufuta comments maana yake hapo mkiendelea mnapigwa ban. Au wakati mwingine uzi unafungwa kabisa au unafutwa.
Sasa yeye anaona hajakupa makavu yake vizuri anakuja pM kuendeleza. Yaani ni raha sana![]()
mnaendelea kupeana za uso pm, haki tena nakutamania huo ukorofiWe jaribu bahati yako.Dahhh nimeishiwa nguvu kabsa hapa
Wakati wa kuvuna tustuane mkuuShamba lako hili mama kijacho umeona lilivyopendzaView attachment 2252378View attachment 2252380
Au na ww umefunga pmWe jaribu bahati yako.
Ndio nimejilipua😁😁😁Sasa ndio umeona unitangaze hapa 🥲🥲