Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie pia mtu akinikera kwa namna moja ama nyingine sijiulizi mara mbilibili ni ignore tu!!
Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.

Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
 
Duh! Kuna muda natamani ningekua kajeuri hivi ila sasa ndio siwezagi
 
Mimi nimewahi kumuignore mtu maana alikuwa anacomment pumba.

Ila mtu akiniuzi sim ignore nitakula naye sahani moja.
Wengine wanahamia pm kunitukana, nakula nao sahani moja hadi wenyewe inabidi wani ignore maana hata mwezi ukipita nikikumbuka tu nalianzisha upya hata kama walishaacha. Yaani nikiboeka tu naendelea pale pale tulipo ishia.
Watu wa namna hiyo wanashangaza sasa mtu anakuja hadi Pm ili iweje sasa, ni ushamba tu
 
Back
Top Bottom