Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Sasa tunatumaje vochaNiliona kufunga ni best option.
Thanks.
Sasa tunatumaje vochaNiliona kufunga ni best option.
Thanks.
Nafungua kwa mudaSasa tunatumaje vocha

Sio kiherehere in suchKwa hicho kiherehere endelea tu kufunga![]()
Thanks mrembo.Pole mamy! Bora umefunga tu
Yes na mimi huwa sipendi hii hali ndio sababu nilifunga. Ni bora usipatikane kabisa lkn sms zinafika na hazijibiwi hii si nzuri.Sio kiherehere in such
Lakini in a normal situation nisingependa nimtumie mtu text then hajibu ...ana ignore
So nami mimi sipendi kumfanyia hivyo mwingine .
Mfumo wa jf ulivyo , yeye anaona kila kitu chake ila wewe ndio haumuoni.Kuna ID moja kwenye jukwaa flani nilimzidi hoja akaja pm na vitisho vyake, nilimu ignore mpaka leo hawezi kutuma text pia haoni comments zangu jukwaa lolote.
Mtu akikuletea shida una ignore tu maisha yanaendelea
Tuendelee kuishi, au sio?hahahahaha.umeona eeh rafiki,mungu ni mwema
Nataman kungekua na namna ukimlima block mtu aisone chochote kukuhusu na wewe usione chochote kumuhusu. Ingekua poa sana.Mfumo wa jf ulivyo , yeye anaona kila kitu chake ila wewe ndio haumuoni.
Ok, ila hawezi reply comments zako wala kuku text pmMfumo wa jf ulivyo , yeye anaona kila kitu chake ila wewe ndio haumuoni.
Sure thingYes na mimi huwa sipendi hii hali ndio sababu nilifunga. Ni bora usipatikane kabisa lkn sms zinafika na hazijibiwi hii si nzuri.

Hayaa turingieniZamaradindio rafiki nimefunga.
Wewe ndio humuoni ila yeye anakuonaKuna ID moja kwenye jukwaa flani nilimzidi hoja akaja pm na vitisho vyake, nilimu ignore mpaka leo hawezi kutuma text pia haoni comments zangu jukwaa lolote.
Mtu akikuletea shida una ignore tu maisha yanaendelea
Labda kuna siku jf wataona inafaa watupe hiyo option. Lakini nadhani haipo kwa sababu wanataka kila mtu awe na chance ya kusoma kila bandiko linalowekwa humu.Nataman kungekua na namna ukimlima block mtu aisone chochote kukuhusu na wewe usione chochote kumuhusu. Ingekua poa sana.
Haturingi bwana kuna vijisababu tu vinapelekea kufanya hivyoHayaa turingieni
Hapo hawezi tu kuku pm ila hadi comment ana reply sema aki reply wewe hauoni. Japo ukitaka kuziona unaona, kuna ka alert ka "ignored content wanna view "? Ukiamua ku view unaona.Ok, ila hawezi reply comments zako wala kuku text pm
Blue ticks zinauma acha tuSure thing
Mweh , I've been ghosted before inauma so siwezi mfanyia mwingine hivyo pia .
Ah roho hadi inauma ukifanyiwa hivyo ..mwendo wa blue ticks tu![]()


Fungueni pm izo bhn kwan tuliopo humu si ndo waliopo mtaaniHaturingi bwana kuna vijisababu tu vinapelekea kufanya hivyo