Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
NdioAu na ww umefunga pm
NdioAu na ww umefunga pm
pole kwa kwakuonewaRafiki mimi ni mpole sana huwa naonewa muda mwingine nataman ningekua kajeuri lakini ndio sijaumbwa hivyo sasa.
Sio fair kabisa umanivua nguo hadharani 🥲🥲🥲Ndio nimejilipua😁😁😁
Nifungulie kwa ajili yangu basi bestNdio
Mie nafunga Kuepuka kujaziwa inbox tu kwa ujinga ujinga na wachache wanaowaharibia wenzaoKuna ulazima wa ku ignore mimi na Jeuri yangu naweza mpotezea mtu kuanzia pm mpaka jukwaani sifungi pm na sms zake sijibu.
We tena huwa sms zako huwa zinanipa hasira huku pm huwa natamani nikuchane live kwamba unatwanga maji kwenye kinu😎Sio fair kabisa umanivua nguo hadharani 🥲🥲🥲
Kuna huyo mmoja alinizingua 2016 mwanzoni. Akaja hadi PM weee alinitukana matusi mapya ambayo nilikuwa siyajui. Nikasema wewe hunijui mimi vizuri.hahahahahaha,we mtata
Sawa yaishe 🚶🚶🚶🚶🚶🥲We tena huwa sms zako huwa zinanipa hasira huku pm huwa natamani nikuchane live kwamba unatwanga maji kwenye kinu😎
Kuna huyo mmoja alinizingua 2016 mwanzoni. Akaja hadi PM weee alinitukana matusi mapya ambayo nilikuwa siyajui. Nikasema wewe hunijui mimi vizuri.
Tangu huo mwaka hadi mwaka jana ndio aliniomba msamaha maana kila mwaka nilikuwa nampa dozi yake halafu miezi ile ile. Yaani nilikuwa nikikaa nikiona sina cha kufanya nampaaa, asipojibu namfuata jukwaani namwambia "jibu pm".
Sasa hiyo mwaka jana miezi ya kumpa dozi ikafika, Nikamwandikia "happy anniversary kwa ugomvi wetu". Akaniambia nimsamehe, kwanza amefiwa. Basi sasa hivi ni swahiba wangu.

duhOk ni vizuri binafsi mimi sifungi pm kwa kiumbe mmoja au wawili never tena asiyenijua wala kunifahamMie nafunga Kuepuka kujaziwa inbox tu kwa ujinga ujinga na wachache wanaowaharibia wenzao
Kuna wengine ni wanajielewa mnooo! Mnachat pm kistaarabu kabisa hata kama mmetofautiana kwa namna moja ama nyingine kiutu uzima tu mnaendelea kutumiana na kupigana story wale vichomi sasa ndio utaona balaa/ bifu/ figisu zao!!
Toa toa nyokaNawapa siri mkiniignore sawa
Unatuchana vimodo liveVidada vyembamba vibaya vinakuaga vijeuri hatar kwenye 100 98 wana jeuri lakini sio wote
Hapo sawa😁Sawa yaishe 🚶🚶🚶🚶🚶🥲
Ushuhuda wako unanichekesha sana😁😁Kuna huyo mmoja alinizingua 2016 mwanzoni. Akaja hadi PM weee alinitukana matusi mapya ambayo nilikuwa siyajui. Nikasema wewe hunijui mimi vizuri.
Tangu huo mwaka hadi mwaka jana ndio aliniomba msamaha maana kila mwaka nilikuwa nampa dozi yake halafu miezi ile ile. Yaani nilikuwa nikikaa nikiona sina cha kufanya nampaaa, asipojibu namfuata jukwaani namwambia "jibu pm".
Sasa hiyo mwaka jana miezi ya kumpa dozi ikafika, Nikamwandikia "happy anniversary kwa ugomvi wetu". Akaniambia nimsamehe, kwanza amefiwa. Basi sasa hivi ni swahiba wangu.
🥲🥲Hapo sawa😁
dah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyoKuna huyo mmoja alinizingua 2016 mwanzoni. Akaja hadi PM weee alinitukana matusi mapya ambayo nilikuwa siyajui. Nikasema wewe hunijui mimi vizuri.
Tangu huo mwaka hadi mwaka jana ndio aliniomba msamaha maana kila mwaka nilikuwa nampa dozi yake halafu miezi ile ile. Yaani nilikuwa nikikaa nikiona sina cha kufanya nampaaa, asipojibu namfuata jukwaani namwambia "jibu pm".
Sasa hiyo mwaka jana miezi ya kumpa dozi ikafika, Nikamwandikia "happy anniversary kwa ugomvi wetu". Akaniambia nimsamehe, kwanza amefiwa. Basi sasa hivi ni swahiba wangu.
Tena akiwa model asiwe husna Grace Pili au Mary Joyce🙌Unatuchana vimodo live