Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Shamba lako hili mama kijacho umeona lilivyopendzaImekuwaje wa nyumbani
Shamba lako hili mama kijacho umeona lilivyopendzaImekuwaje wa nyumbani
Weee yule makucha umemuachaje achaje sasa!!🤔Kwakweli ni mwisho wa leli 😅😅 si umeona sasa hivi narudi nyumbani akikohoa tu mie huyo home kupata mahaba ya kitanga
Acha uchocheziWeee yule makucha umemuachaje achaje sasa!!![]()
Jamanii moyo huo wa kujipa matumaini acha achepuke kwa kuwa ananipenda mimi sina 😬😬
Kwa yale makucha si anataka kuniambukiza Uti sugu huyu anaweza hata kujisafisha kweli😬😁😁😁Weee yule makucha umemuachaje achaje sasa!!🤔
Unasubiri niselfike eehh????!!?🤣🤣Acha uchochezi
ItapendezaBado
Unasubiri niselfike eehh????!!?![]()
Wapo mpendwa tena watulivu mno sema ni wachache sanaHakuna mwanaume wa pekeake dada ni tunaishi humohumo tu hakuna namna!
_King hili dongo lako hili!!Kwa yale makucha si anataka kuniambukiza Uti sugu huyu anaweza hata kujisafisha kweli😬😁😁😁
Subiri hapohapo!🙄Itapendeza
Dunia hii au nyingineWapo mpendwa tena watulivu mno sema ni wachache sana
Inapendeza sana!! Japo ni percent ndogo mnoWapo mpendwa tena watulivu mno sema ni wachache sana
Nenda na mizawadi yakutosha na full of surprises kidogo ushungu adhabu na mnuno vipungue!Nuzulati hana bayaaa na mie ananipendaa 😬😃😬😬😬 neno lake halipingwi acha nirudi home kwanza nikale mapishi yake ila kwanza naanza kumla mpishi hadi asahau
Kesho tunaenda dubai then ibiza 😅😅😅 nashindilia mimba juu ya mimbaNenda na mizawadi yakutosha na full of surprises kidogo ushungu adhabu na mnuno vipungue!
Kila lenye kheri mkuu!! Mambo ndio hayo sasa!!!Kesho tunaenda dubai then ibiza 😅😅😅 nashindilia mimba juu ya mimba
Hii ambayo tupo mimi na wewDunia hii au nyingine
Mkuu hapa umeamua kujilipua kabisa yani👏Chat na picha
View attachment 2251897