Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,558
😂😂😂🙌khaaadah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
😂😂😂🙌khaaadah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
wadada humu,mnaonekana ni watata sanaUshuhuda wako unanichekesha sana😁😁
Pisi za hivi huwa tamudah we hapana,unaishi wapi? Mbn mtata hivyo
hahahaaaa wewe utakua huna shida hata humu tu unaonekana!!hahahaha,nilitaka nije kusalimia pm,ila basi kumbe uko hivyo
hongera sana!Ok ni vizuri binafsi mimi sifungi pm kwa kiumbe mmoja au wawili never tena asiyenijua wala kunifaham
Wala sio utata kuna watu huwa wanachukulia kila mtu poa yaani hata kama sio mkorofi ata sababisha ujifunze.wadada humu,mnaonekana ni watata sana
Duh!! Usitufanyie hivyoTena akiwa model asiwe husna Grace Pili au Mary Joyce![]()

hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tuhahahaaaa wewe utakua huna shida hata humu tu unaonekana!!
Kwa nini? Wewe una kaupole ndani yako??hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tu
Njoo babangu njoo tu usogope🤣🤣🤣🤣🤣!hahahahaha,mimi mdada mtata atanionea tu
😂😂😂hapanawadada humu,mnaonekana ni watata sana
hahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?Pisi za hivi huwa tamu
hahahahaha,dah,ndo utata wenyewe huo😂😂😂hapana
Tuna save kulingana na bei
Utakavyokuja ndo utakavyopokelewa😎🚶🚶
Hahahhaha!! unanifurahishaga sana wee mbaba!hahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
Nimepiga piga vya hivyo ukikuta kame amua kukupa eeh hatari tupu kalivyo katata huku na sita kwa sita hivyo hivyo vina magame flani hivi amazing ukionja hutokihahahahaha,cjawahi kuonja hivyo siwezi kujua,we umejuaje mkuu huwa tamu?
Hili chozi nimelidaka mkuu😬
😍😍😍Hili chozi nimelidaka mkuu😬
😀😀😀 Mie kijana, Mwanaume nguvu bado ipo nifanyaje sasaWewe unaonekana ki kichomi sana wewe! Nimehisi tu lakini!!
Mzima rafiki, hope uko poa sana. Hata hivyo ile story bado naisubiria...
Eroni, mzima wewe??
Nguvu ipi???? Kwani kuna kupigana 🤣🤣🤣🤣🤣😜😜!!😀😀😀 Mie kijana, Mwanaume nguvu bado ipo nifanyaje sasa