Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
ππππ siwezi fanya hivyo kha kuna mwingine kakosa macho yalikuwa kote koteHehehehehe ili uotee namba yangu?ππππππ
ππππ siwezi fanya hivyo kha kuna mwingine kakosa macho yalikuwa kote koteHehehehehe ili uotee namba yangu?ππππππ
Si haba, uselfike sasa mama mtumishiNimelamba moja buku 5ππ
PM wamefunga mzee alafu hawanijibugiPeleka pm sasa mkuu ππ
Kumbe wizo ndo kalamba buku tano letuNimelamba moja buku 5ππ
Mtaka yoteπππππππ siwezi fanya hivyo kha kuna mwingine kakosa macho yalikuwa kote kote
Baba Pasta hajajibu maombi yangu badoPM wamefunga mzee alafu hawanijibugi
Si nimeweka mbili lakini test unaweza kuta moja bado πππKumbe wizo ndo kalamba buku tano letu
King unaona ss
Nilikwambia nipewe pm
Hili ni tatizo sugu la warembo wa humuPM wamefunga mzee alafu hawanijibugi
Ndio maana nimetulia tukioata vi cent tunarusha hapa hapa tu sandakalawe πππBaba Pasta hajajibu maombi yangu bado
Kwa nini wanawafungia sasa, baadaye wanakuja kunisumbua niwaombeeπππHili ni tatizo sugu la warembo wa humu
Na wewe umepiga pm kufuli?Kumbe wizo ndo kalamba buku tano letu
King unaona ss
Nilikwambia nipewe pm
Eeeh mwaya mrushe tu sandakalaweNdio maana nimetulia tukioata vi cent tunarusha hapa hapa tu sandakalawe πππ
Ni wagumu haon, ukifanikiwa ujue umeangusha ngoma nzito sanaHili ni tatizo sugu la warembo wa humu
Ndio maana unadondosha humu wagombanie na vidume πππNi wagumu haon, ukifanikiwa ujue umeangusha ngoma nzito sana
Sema vidume vinazingua, kimevaa kabisa suluwale lake cadet sijui jeans linagombania na watoto wa kikee ajabu sanaaa ππππππNdio maana unadondosha humu wagombanie na vidume πππ
Hapana bwana king anazingua,IPO waziπNa wewe umepiga pm kufuli?
Wacha nisiongeze neno hapa πππSema vidume vinazingua, kimevaa kabisa suluwale lake cadet sijui jeans linagombania na watoto wa kikee ajabu sanaaa ππππππ
Sawa mrembo, zamu yangu kesho nitapiga hodi pm upate mb chache za kuselfikaHapana bwana king anazingua,IPO waziπ
Jmn msinifsnyie hivi jmn pm iko wazi
ππHili ni tatizo sugu la warembo wa humu