😀😀😀😀 si mnapiga kimya kimya huko lazima waonekane kama hawapo
daddy wangu yale mawasiliano mengine yaliharibika.unaendeleaje lakini.asante kwa kwa ujumbehuu mzito kutoka kwako daddty wangu kip[enzi.kwa sasa nimebananika sana nikibahatika kuwA FRe NITAKUCHeKIBinti yangu mwema sana...
Mpendeka mno mno...
Inakuwaje unakuwa na birthday
Hata daddy wako sijui?
Anyway, nachukua nafasi hii ili kukuombea kila lililo jema kutoka kwa Mungu wetu mkuu huyu Asiyelinganishwa na cho chote. Barikiwa sana binti. Furaha na amani vikuandame kila uendako. Majaribu, misukosuko na mbinu zote za giza na zikashindwe kwa jina kuu la Yesu. Tena uishi maisha marefu kwa kadri iwezekanavyo na uzao wako wote ukawe wenye hadhi na heshima sasa na hata milele. Amen![]()
thanks my diaHbday to u dear
nimejaribu kumfuatilia comments zake nimeamua kumwacha tu.thanjs my love
AiseeeBado hujawajua wanawake
Mtoto mzuri kama wewe najua huwezi kulima na kukamua ng'ombe mabhele, we unaweza zugaga ugali wa mtama wa bhasukuma?
We unaweza demaga mifugo? waache ng’wanike wa kisukuma wafanye hivyo vitu.
Ng’wangaluka?

eti eeh 

Mmepotea mno jmnNipo dear
Mzima lakini?
Mad Max ivi bado tu haung'oa totoz humu kweli tusije ingiliana kwenye mawimbi, maana unapo pita wewe na mshaka napounaharibu kabisa



