Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uliniona
Tokea mbali
Uliniona Baba tokea mbali
Nikiwa nanuka dhambi
Nikiwa nanuka zinaa
Uliniona

Sikufa kwa madhambi yale
Uliniona Baba...
Tokea mbali...

Mch. Mbarikiwa Mwakipesile What a blessed and anointed servant of The Almighty.

Whenever I am sad or down, his songs are always comforting, consoling and asssuring. Thank you Holy Spirit for the worship
View attachment 2250647
Mbarikiwa
Mzee wa injili ngumu
Kikosi kazi
 
Ndiyo bro. Nyimbo za huyu Mbarikiwa Mwakipesile huwa zinanirudisha kwenye mstari hata niwe na mikwamo ya aina gani. Ukiwa na safari ya kwenda Mbeya nitadandia lift aisee. Natamani sana kuonana naye uso kwa uso. Si kwa mibaraka hii ya bure kupitia tenzi zake.

Ubarikiwe sana
Kabisa Kuna nyimbo tungo zake hua zinafariji mno katika mapito Fulani..usijali ukidondoka bongo mzee wangu nitakua personal driver wako
 
mtaaani
20220604_064223.jpg
 
Close your eyes, lay your head down
Now it's time to sleep
May you find great adventure
As you lie and dream

If you're scared of the darkness
I will calm your fear
There's a light in the hallway
So you know I'm here

So count your blessings every day
It makes the monsters go away
And everything will be okay

You are not alone
You are right at home
Goodnight
, Alayna
 
Back
Top Bottom