Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,789
Bado hujawajua wanawakeKwa undishi wangu unaonaje kwani ? Nawajua au siwajui
Bado hujawajua wanawakeKwa undishi wangu unaonaje kwani ? Nawajua au siwajui
OkayBado hujawajua wanawake
Unafikiri sababu ya kutowajua mie wanawake vizuri, pia iwe sababu ya kufurahi mwanamke kudhalilishwa au kufanywa kuwa mnyonge na kama kitu kiaichofaa kwenye jamii ?Bado hujawajua wanawake
Kwan unafikiri wanaume hatudhalilishwi na wanawakeUnafikiri sababu ya kutowajua mie wanawake vizuri, pia iwe sababu ya kufurahi mwanamke kudhalilishwa au kufanywa kuwa mnyonge na kama kitu kiaichofaa kwenye jamii ?
Nani ni kichwa kati ya mwanamke na mwanaume ?Kwan unafikiri wanaume hatudhalilishwi na wanawake
Sema nn acha tuselfike tuNani ni kichwa kati ya mwanamke na mwanaume ?




Selfika na tigo mkuuSema nn acha tuselfike tu![]()
Pamoja kamanda 😅😅😅 Tuwalinde mkuu wangu , wanatuhitaji sana tusiwafanye dhaifu au wanyonge. Sie ni vichwa tunaendesha mwili mzima kama tutakavyoSema nn acha tuselfike tu![]()
Vipi mvua pande hiziGeuka utaniona nyuma

Mjep upoo?!!Selfika na tigo mkuu
Asante mkuu.Close your eyes, lay your head down
Now it's time to sleep
May you find great adventure
As you lie and dream
If you're scared of the darkness
I will calm your fear
There's a light in the hallway
So you know I'm here
So count your blessings every day
It makes the monsters go away
And everything will be okay
You are not alone
You are right at home
Goodnight
, Alayna
mvua ni 🔥🔥🔥 nafurahi sana ka mvuaa baadae naenda bomba mbiliVipi mvua pande hizi![]()
Pole chief haikua bahati yako leoNakubal Kaka Sema wajanja wameshapita nayo![]()
Nimeishapoa napata togwaa hapaa 🥲🥲kunywa maji
Togwa na baridi hiliNimeishapoa napata togwaa hapaa 🥲🥲