Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji445][emoji445]Uliniona
Tokea mbali
Uliniona Baba tokea mbali
Nikiwa nanuka dhambi
Nikiwa nanuka zinaa
Uliniona

Sikufa kwa madhambi yale
Uliniona Baba...
Tokea mbali...[emoji445][emoji445]

Mch. Mbarikiwa Mwakipesile What a blessed and anointed servant of The Almighty.

Whenever I am sad or down, his songs are always comforting, consoling and asssuring. Thank you Holy Spirit for the worship [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
20220604_154642.jpg
 
[emoji445][emoji445]Uliniona
Tokea mbali
Uliniona Baba tokea mbali
Nikiwa nanuka dhambi
Nikiwa nanuka zinaa
Uliniona

Sikufa kwa madhambi yale
Uliniona Baba...
Tokea mbali...[emoji445][emoji445]

Mch. Mbarikiwa Mwakipesile What a blessed and anointed servant of The Almighty.

Whenever I am sad or down, his songs are always comforting, consoling and asssuring. Thank you Holy Spirit for the worship [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2250647
Faza unakula upako tu [emoji120]
 
Tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita Chakorii alizaliwa.karibu tusheherekee pamoja
Binti yangu mwema sana...
Mpendeka mno mno...
Inakuwaje unakuwa na birthday
Hata daddy wako sijui? [emoji15][emoji15][emoji15]

Anyway, nachukua nafasi hii ili kukuombea kila lililo jema kutoka kwa Mungu wetu mkuu huyu Asiyelinganishwa na cho chote. Barikiwa sana binti. Furaha na amani vikuandame kila uendako. Majaribu, misukosuko na mbinu zote za giza na zikashindwe kwa jina kuu la Yesu. Tena uishi maisha marefu kwa kadri iwezekanavyo na uzao wako wote ukawe wenye hadhi na heshima sasa na hata milele. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom