Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

27 Je! Mtu aweza kuua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe?

28 Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?

29 Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.

Post M-alone umeona maneno haya 😅😅
Nimeona mkuu, kwa kweli neno hili limeikaribisha vyema kabisa jpili. 🙏🙏🙏
 
Bishoo _King tumerudi town. Tunaanzia Bibo Hostel au Maguful?
880F7DE7-485C-4280-8011-C48A39B5929C.jpeg
 
Walimwengu hawatakupa mikono
Magonjwa yatakuvuta ndani ya shimo Utakata tamaa, utaandama na balaa Pumzi hutovuta kwa raha, kweli usiombee kuwahi Survival for fittest; never trust nobody in this world of weakness Watakukana hata kama ndugu zako Watadiriki sema hawajui hutokako Mama acha kulia, Hayo uliyonayo ni majaribu tu ya dunia Ipo siku mambo yako yatatulia Uta weza hata Utasahau ya zamani uliyopitia ooh hii dunia
 
Wapo wapi marafiki uliokuwa nao Enzi zile pesa imekutembelea Hawapo tena nawo wamekukimbia Sasa huko waliko tayari wanakukandia. Mke wako nae anataka taraka Anasema maisha nawe ameshachoka Anataka arudi kule kwao alipotoka Sababu maisha anayoishi nawe ameshachoka Ada ya watoto hujalipia, kodi ya chumba nayo unadaiwa, Unazidi changanyikiwa. Hata unajuta oh kwanini ulizaliwa. Piga moyo konde, Maisha uyashinde. Bado safari ndefu yenye miba na mabonde Usiweke kinyongo hata kama walikutupa Remain strong, be strong. Don′t be jealous, Dats all'
 
Binadamu sio watu (Ni kweli watakupenda ukiwa na kitu tu) Ukiwa na shida hutawaona (Watakujali vipi ukiwa na shida ndugu yangu) Ona sasa wamekimbia, uuh oh (Kali, Rasheed) Ona sasa wamekimbia, Yeah (ECT, Master Jay) Ona sasa wamekimbia ee (Maisha yana pande mbili, usife moyo) Ona sasa wamekimbia (Zingatia, sikia, siku zote ndo yanavyotokea)
 
Back
Top Bottom