Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_4924.jpg

IMG_4879.jpg

IMG_4951.jpg

IMG_4969.jpg
 
Ivi inakuwaje unae jiita mwanaume ( for me huyo sio mwanaume hana tofauti na dada zake au Elton John ), Unakaa unamshumbulia mwanamke na kumtumia mwanamke watu wamshambulie, kumnyima raha, kwanini umfanye mtu mlie lala nae kitanda kimoja awe mnyonge kwani umdhalilishe ? Unapata faida gani kumdhalilisha mwanamke na kumfanye awe mnyonge kisa unajiona mwanaume au unaona unajua udhaifu wake 😬😬😬 Huo sio uanaume ni ushoga narudia tena ni shoga ... Mwanaume yoyote harisi hafanyi hayo wanaume Harisi tunawalinda wanamke, tunawaheshimu hatuwafanyi kuwa wanyonge haijalishi kuna nini na kilitokea nini .. Mwanamke ni Mama, Mwanamke ni shamba, mwanamke anaweza kukufungia baraka kamwe usitoboe maisha yako na Mungu akawa hana la kufanya
 
Ivi inakuwaje unae jiita mwanaume ( for me huyo sio mwanaume hana tofauti na dada zake au Elton John ), Unakaa unamshumbulia mwanamke na kumtumia mwanamke watu wamshambulie, kumnyima raha, kwanini umfanye mtu mlie lala nae kitanda kimoja awe mnyonge kwani umdhalilishe ? Unapata faida gani kumdhalilisha mwanamke na kumfanye awe mnyonge kisa unajiona mwanaume au unaona unajua udhaifu wake Huo sio uanaume ni ushoga narudia tena ni shoga ... Mwanaume yoyote harisi hafanyi hayo wanaume Harisi tunawalinda wanamke, tunawaheshimu hatuwafanyi kuwa wanyonge haijalishi kuna nini na kilitokea nini .. Mwanamke ni Mama, Mwanamke ni shamba, mwanamke anaweza kukufungia baraka kamwe usitoboe maisha yako na Mungu akawa hana la kufanya
Unawajua wanawake vizur lkn
 
Back
Top Bottom