Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂Embu kamalizane na Uzi wako kwanza alafu ukuje nikupe kitu moyo inataka
Uzi gani tena butterface we achia selfie moja niridhike nilale maana umenifungia PM ulivo na roho kwatu!
 
😂😂😂😂Umeamua unisute Sasa..ila Hilo jina kausha bana..haya subiri hapo hapo najitupia
 
Heheehhe..mbona habibty 😂😂😂😂... ongeza mtewezo bana embu nijazee tena
Butterface jamanii selfika kipenzi cha moyo wangu mrembo usiye na makuu mwenye roho yake ya upole Mungu kakujaaliya neema tele mpaka mzabzab anakonda huko alipo Yna2 kwa hapa JF huna mpinzani hata melo amethibitisha hilo 😘 hii dunia ni ya wengi ila hakuna kama Yna2 selfika wangu wa ubani uwashushe vihoro wenye husda na roho za choyo hapa jamvini!
 
Mzeya unakamatia paja la huyo mrembo....mzeya unakojolea pazuri
 
Butterface jamanii selfika kipenzi cha moyo wangu mrembo usiye na makuu mwenye roho yake ya upole Mungu kakujaaliya neema tele mpaka mzabzab anakonda huko alipo Yna2 kwa hapa JF huna mpinzani hata melo amethibitisha hilo 😘 hii dunia ni ya wengi ila hakuna kama Yna2 selfika wangu wa ubani uwashushe vihoro wenye husda na roho za choyo hapa jamvini!
Mbayuuuu...😂😂😂😂😂😂akiiik mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣..Sasa hapa kidogo umenishawishi nisubiri hapo hapo usiondoke..😘😘
 
Nasubiri kwa bashasha tele huku nimeshika burungutu la fedha kwa ajili ya kukupambia kama maua yapambavyo garden ya ikulu! My lovely bird! Honey boo!
 
Back
Top Bottom