Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Ila vyakula vya huku jamani 😂😂Hapana huu ni uji wa maharage
Ndizi na maharage na magadi🤣
Hiyo mixer inataka fanania kwa mbali na kitalolo…
Ila vyakula vya huku jamani 😂😂Hapana huu ni uji wa maharage
Ndizi na maharage na magadi🤣
We si ulimkataa kakangu ungeshakuwa mtaalam wa hizo menu😜Ila vyakula vya huku jamani 😂😂
Hiyo mixer inataka fanania kwa mbali na kitalolo…
'deep state' wameniomba niondoe jinaWajumbe wamefanya yao kura hazikutosha ama?
Umejiondoa kwenye kinyang'anyiro mapema sana Brig. General.
Aiseee baba kijacho uko wapi kwani mbona umetoka nyumbani ndevu safi🤷🏼♀️Vile unajaua nakupenda siwezi ishi bila wewe 🥰🥰🥰 wewe ni maana harisi ya maisha yanguView attachment 2250380
Siku hizi kunaSasa si nitashindwa kutembea jamani
acha tu mama kijacho, tunza hiyo kumbukumbu mtoto wetu akizaliwa aje kuonana ninayopitia baba yake 😬😬😬Aiseee baba kijacho uko wapi kwani mbona umetoka nyumbani ndevu safi🤷🏼♀️
🙂🙂🙂 ahahaha! huenda mambo ya reincarnationNikajua yule aliyeact filamu ya Yesu jamani
hahahahaha. Najitoa ktk mbio hz,sbb zilizo nje ya uwezo,wengine waendelee
tulia weweHennessy limao nyingi sana mkuu wangu 🙂


Niaje boss..Nakuona tajirii![]()



Atachanwa huyu 😀😀😀
Aisee una miguu mizuri...


