Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,847
- 37,542
Km 10 hivi ,so far....Wangapi tumeonesha nia ktk jimbo lilo wazi la Christine ?



Usijali,ww tenasasa watangaza nia ktkt jimbo tunapitwa hv dah
Anhaa, mjukuu wake ni yupi? yupo humu?😅😅 anampigia pande mjukuu wake tu, tuunganishe nguvu ili jimbo tulitwae
Asante kipenzi huyu Mwanaume nimemshindwa kwa kweli😬😬
Hennessy limao nyingi sana mkuu wangu 🙂Home mdogo mdogo na Hennessy pori View attachment 2250306
Hennessy limao nyingi sana mkuu wangu 🙂
Hold there sweetie....
hahahahaha. Najitoa ktk mbio hz,sbb zilizo nje ya uwezo,wengine waendeleeKm 10 hivi ,so far....
Ss muongozo wa namna ya kulipata jimbo ,mumuone huyuShimba Ya Buyenze
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupenda sana wewe malkia wangu na nafsi yangu 🥰🥰😬😬Baba kijacho,baba kijacho,baba kijacho nimekuita mara tatu usaliti utaacha lini?
Wewe rudisha viatu vyanguKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
🤗🤗🤗🤗🤗 Nakupenda sanaaa mama kijachoAsante kipenzi huyu Mwanaume nimemshindwa kwa kweli😬😬
This time ni loshoro mwanzo mwisho! 😅😅Hold there sweetie....
coming soon, nina kiwi balaaa😘