Selfika na JF: Snap it. Show it

Me kipindi kile ingekuwepo aki nisingeenda, ningesingizia tu vyovyote nisiende
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Akili za usiku hizo


Em fanya zile kazi za watu, au ushamaliza?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha kabisa..

Kazi zijafanya.. hata bag la PC sijalifungua tokea nimerudi.
Work from home ni ngumu aisee 🀣

Kesho mapema moja unusu niko kwa fasi ya duasi.. u seriousness nautune mpaka mbili flani hivi ya 3 kasoro natoboa.
 
Mbona Miss Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema mshauri shoga ako awe anatandika hata kitanda basi kabla hajaingia mtandaoni na kuanza kujipost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaamkaa
Kitanda hutandiki…
Huogi…
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.

Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupuu, woiiiiih
 
Msikapeleke bana, huku mtaani sidhan kama watafatilia hizo mambo.

Kumbe ni kale 😍😍
Wasije wakamharibia dimples zake
Eeh nikale.. hakataki kuteseka na kukata huto tunywele
 
Ubuyuuuuuuuh na mtauletaaa, tuuuh mie nausubiri mnooo.
 
Aisee kigoma ipo,nimetizama

Dogo kapangiwa Rwamkoma__mara........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeeeh haipo siriazi,Mbinga to Musoma,halafu ni tarehe tatu atimbe[emoji23][emoji23][emoji23]...no no no
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijapenda walivyowafanyia watoto wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…