Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

karibuni Heaven Sent Saint Anne mahondaw Kelsea Lenie Christine1 Depal Chakorii Wigelekelo spidernyoka mzabzab alicia keys Alayna Strawbella mawardat mama kijacho specail Nuzulati
Tinsley
🤭🤭🤭🤭 wengine woote
941862E5-D442-4CBB-B640-01C81B52F8D3.jpeg
 
Dah!

Mnakataaga hivyo hivyo "sitaki mie" huku mmebana pua wakati kitu kinapenya mwishowe hiyo sitaki mie inageuka na kuwa "jamani SYB mbona unanifanyia hivi lakini? Kwanza mi nilipita tu kukusalimia mara moja. Jamani SYB" [emoji16][emoji16][emoji16]

Mzuka hatari yaani [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji2089]
 
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi [emoji23][emoji23]

Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni [emoji57][emoji57]


Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia [emoji28][emoji23][emoji23]
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa [emoji1787][emoji23]
Tobaa[emoji2297]
 
Wageni....

Wanakuta yatch ya $ mamilioni...

Kama zile za ma oligarchy wa Putin...

Imepaki tu inaelea bandarini...

Inang'ara na kupendeza sana...

Bila kujiuliza wanaparamia tu...

Wanasahau kwamba ukikiona chaelea.....

Akili mtu wangu akiliii....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
@Mshana Jr

Ametupia C&P

Ya Bi Mdashi huko Mwanza

Kusikia kwa kenge

Damu masikioni
 
Back
Top Bottom