Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 usiniangushie jumba bovu ‘ maana kamoja unahusika nako kwa namna flani Kengine sijui ni ka mtaa gani. Viko na branches 😆😆


Lenie nilikuambiaaajeeee?
Haya nifukuze hapa bana, 11 inakaribia.
🤣🤣🤣🤣
Haya chapa lapa fastaa, sa 11 inakaribia na una vimeo kibao hapo.

Ila badae lazima tulijadili hili, looks like unajua kitu af hujaniambia.
Lini umeanza kuninyima ubuyu shoga angu🤣🤣🤣
Sijapendaaaa
 
usiniangushie jumba bovu ‘ maana kamoja unahusika nako kwa namna flani Kengine sijui ni ka mtaa gani. Viko na branches


Lenie nilikuambiaaajeeee?
Haya nifukuze hapa bana, 11 inakaribia.
wee km kwa uwanja ule, niliye karibu nae, hata yeye shouzzz angu yuko karibu nae, labda wageukane wenyeweeee.

Weraaaaaah weraaaaaah. JF ya motoooooh.
 
kwenda huko, unapiga punyeto huku unajichezea chuchu ya kushoto. Wozaaaaaaaaaaaaaah!!!!
😁😁😁 vichuchu akiwa fundi hadi naamshwaga yaani unasikia baby eeeh ndio unashtuka shenzi sanaaa wewe
 
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi

Kiuno nyigu

View attachment 2245699
🤣 🤣
 
Back
Top Bottom