Watu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangiπ€£π€£π€£π€£π€£ππππ unaamkaa
Kitanda hutandikiβ¦
Huogiβ¦
Mbio kutumia watu PMs zisizo na kichwa wala miguu.
Sijui kula yako unaitafuta saa ngapi πππππ
UmejuajeNijulie wapi kijeba mie nishajizeekea hayo mambo ya vijana kina cocastic a.k.a kungwi mwenyewe!!
Nita π€π€π€ ya mgongo hadi ulie nianze kukumbelezaWatu wana stress za maisha shoga, we chezea kufichwa fichwa ka bangiπ€£π€£π€£π€£π€£
Kula si ndio tunaitafuta huku mtandaoni, tusipopost tutapata vipi wateja jameniπ
Uwiii _King nisamehe hii ya mwishoπ€π€π€
Seminar tu hiyo kwa shangazi ππππBaba Mchungaji
Nipo mpwa.Mkwe adimu
Ngao ya kazi gani πππChat na picha View attachment 2245872
Wa kati huyo jamanHebu tunen pichaView attachment 2245897
Dah!Mie huko sipo baba pasta Sitaki mie!!!!
Enzi shuleni tuna uhaba wa vitiMie semina yanini sitaki mie ππππππ!!
Umbeya ume7bisha nisimalize kazi ππUmalizie wapi wakati uko busy na ubuyu wa hukuπππ
Kale kaPm tatizo akili hanaππ
Cha kumsaidia ni atafute tu kazi ya kumkeep busy ndio aache kutumika na kutegemea mwili ili atimize mahitaji yake.
Ila ulikajibu kisomi, big up kwa hilo babeππ
Wachaa_King wewe sio wa mchangani aisee. Mie ndio kabisa yani nachezea league ya chini kabisa
Mbona leo humu watu wamekaa kibabe kibabe sanaaa π π πTaratibu kijana
Mjini kuna vya watu
Uambie moyo wako
Na uelewe
Wageni....Taratibu kijana
Mjini kuna vya watu
Uambie moyo wako
Na uelewe
Huna bayaWeeeeehh tahadhari muhimu baba pasta lazima tukae kwa kutulia sana!!
Njoo nikutulize kichwaa for freee ππππUmbeya ume7bisha nisimalize kazi ππ
Akishindwa atupe CV tumsaidiee, kambuzi kale.. na ilo ndiyo kubwa linalomuumiza anabaki kuhaha pasi na sababu.
Kakija sasa jukwaani!! Ni nyoroo nyingi
Hasiraaa 7bu kalimalizwa uchochoroni ππ
Kalikuta file la ubongo wa nyuma limetulia π ππ
Ila hivi venye leo nimetibukwa!! Pm pasingetosha, tungejikuta tumemwagikia kwenye jukwaaa π€£π
Msg zilikua zimejaa makasiriko, pole yakeπ€£π€£Bana wee
Si nilisikia wanamuita Miss Buza πππ
Wee ule mtiririko wa msg unaona ni wa mtu mwenye akili timamu?
Na venye ako na bichwa kubwa kama la Depal.. ila sasa!! Pumba tupu π
Nilikuwa najaribu kukutabasamisha Boss Lady. Najua leo huna furaha sababu ya fyoko fyoko za humu. I failed!hio stage nishapita kitambo!!
Sitaki nikufiche na sina unafiki mwayaaa, wee unatafutiwa bifu, yaan wanakuchokonoa ili ujilipue hao wahusika wapate nafas ya kubattle nawee,
Maana kila mbinu inatumika kukuchokoza, wamekukuta hujari wala nn, ko inatafutwa kila angle hadi ujichomeke wakupate, hii selfika wee ukituma picha, lazima baadhi ya watu wahusishe na mtu mwigne, WHY?
Kwann hao wahusika wasije wenyewe hapa? Au wanatafuta kuonesha wee ndo dhaifu? Nakusihii kitu kidogo kitapoteza merits zako hapa jukwaani. Yaan unaona sometimes mada hazihusiki au za jukwaa lingine linaletwa hapa, KWANINI?
Tafakari na uchukue hatua, kuwa makiniii. Mie nimemalizaaaaaaaah