Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh kweli aiseeYaniii hata mie nimemshangaaje kha!!
Coca atupe maelezo
Vipi ulienda hospital ??
Ooh kweli aiseeYaniii hata mie nimemshangaaje kha!!
Nilienda dear walinipa dawa ndio natumia nione!Ooh kweli aisee
Coca atupe maelezo
Vipi ulienda hospital ??
Nimeambiwa Kipong


Ooh okayNilienda dear walinipa dawa ndio natumia nione!
mwambie coca kama ana wa miamala akimpiga kibuti anipasie hapa nipunguze huu umasikini mie!!!Ooh kweli aisee
Coca atupe maelezo
Vipi ulienda hospital ??
Kuimba??Ila hili nalo neno...sasa flatscreen ndio unakuta nao wana sifa zao kama hivi wewe hizo lips inaelekea unaimba vizuri sana
Siet jamani



amen amen !!Ooh okay
Nakuombea uponyaji kwa jina la Yesu .
What is keto fasting?Two months of keto fasting na Russian twist exercises,, unakaa fresh kabisa
DuhOoh okay
Nakuombea uponyaji kwa jina la Yesu .

Ndyooooooh shouzzzzzz.kulizwa tena kha!!!
Niangalizie angalizie mdogo wangu vibaya hivoo!!Dada nipo Sina kapicha kapya jman
Weraaaaaaah.ndioooo