Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,196
Yaniii na mavitambi yetu tunasikitisha sana 🙆🙆Wanawake siku hzi mmekua na vitambi sijui kwann
Yaniii na mavitambi yetu tunasikitisha sana 🙆🙆Wanawake siku hzi mmekua na vitambi sijui kwann
Wow mna discipline aiseeHahahaha inaweza kuwa more,, i tried keto fasting last year wifi yako aliloose 9 kg after 4 weeks mie ndo nlihit 5 after the same 4 weeks
Hahaha Sawa ma sista
Two months of keto fasting na Russian twist exercises,, unakaa fresh kabisaMie nataka kupunguza kitambi tu mkuu Naomba mwongozo!!
Ooh hata ukifanya manual sio mbayaSitumii app,, nna fast tu but nnakeep recording my weight kila baada ya a week to monitor my progress
Fanya zoezi Dada angu punguza chips na mirindaYaniii na mavitambi yetu tunasikitisha sana![]()


Food cravings hasa siku 4 za kwanza ndo huwa zinakatisha watu tamaa,, kichefuchefu, kichwa kuuma, concentration inashuka hzo zote ni symptoms za kitu kinaitwa keto flu,,huwa inafikia peak siku ya 3 au 4,, ukishinda hapo food cravings hutapata tenaWow mna discipline aisee
9 kg sio mbaya aisee hapo unafikia malengo yako
Vipi kuhusu food cravings aisee .. mnawezaje hapo ?
Chips sishibi kabisa mie hizo tunawaachia Vijana nanyie wa mjini huko!!Fanya zoezi Dada angu punguza chips na mirinda![]()
Fanya zoezi Dada angu punguza chips na mirinda![]()
Chips sishibi kabisa mie hizo tunawaachia Vijana nanyie wa mjini huko!!





Alikuwa mkaliOoh hata ukifanya manual sio mbaya
Inahitajika uwe mwaminifu tu hapo la sivyo cheat days zinakuwa nyingi .

tuliwekeana kula ndizi 2 kwa siku unaigawanya vipande 4,, c ndo nikala 3 nzima mbili zangu moja yake ahsubuh hyo

weeeeeeee ugomvi ni kama amenikamata mmechepukaKtk jina LA Yesu,usije kabisaangoja nije Ila ikifika miezi ya sikukuu tuna achana
![]()

Oh so mchawi siku za mwanzoni tu baada ya hapo unaendelea bila shida .Food cravings hasa siku 4 za kwanza ndo huwa zinakatisha watu tamaa,, kichefuchefu, kichwa kuuma, concentration inashuka hzo zote ni symptoms za kitu kinaitwa keto flu,,huwa inafikia peak siku ya 3 au 4,, ukishinda hapo food cravings hutapata tena
YesHili jimbo bado halijapata mgombea?
Ulipotea kidogo. Kila kitu kiko salama?
Hahaha tafuta belts za kupunguza tumboNishajiridhikia kizembe zembe mie mazoezi sifanyi tena!!![]()
Ukishinda wiki ya kwanza ndo imetoka hyoo utaona ni kama maisha ya kawaida,, na ukawa unafanya cardio exercises total ya 180 minutes per week,, mwili huo unaisha,, shida ni maintainance ya huo mwiliOh so mchawi siku za mwanzoni tu baada ya hapo unaendelea bila shida .
Okay thanks I'm insipired kwa kweli


Hahahha aisee kumbe yupo na discipline hivyoAlikuwa mkalituliwekeana kula ndizi 2 kwa siku unaigawanya vipande 4,, c ndo nikala 3 nzima mbili zangu moja yake ahsubuh hyo
weeeeeeee ugomvi ni kama amenikamata mmechepuka
Ujue tunaendana kabsa