Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,367
- 110,028
Basi sawa niko njiani, usifue majinzi nakuja kufua mweyewe☺️
Basi sawa niko njiani, usifue majinzi nakuja kufua mweyewe☺️
Imeisha hiyo, dressing code ni zilezile au?Ibada ya velvet inaanza Saa nne hv majira ya usiku...kuna mkesha
Hahaha wakati wa kurudi nyumbani watanipaisha na mbawa zao sioSadaka haina haja,, uwepo wako tuu malaika wanafurah..
Imeisha hiyo, dressing code ni zilezile au?
Hahaha wakati wa kurudi nyumbani watanipaisha na mbawa zao sio
Hmm kitovu hikihiki kama 🍆?? 🤔😂😂😂😂😂😂
Lady in red...
Mabega kitovu visizibwe
Naam hichi hichi...Hmm kitovu hikihiki kama 🍆?? 🤔
Wee hicho hapana mtu akikumbatia unahisi kadinda😎Naam hichi hichi...
Wadau wanapenda vitovu vilivyovimba kama nyanya chungu flani hivi amaizing
Wewe hujui wadau wanavyopenda.Wee hicho hapana mtu akikumbatia unahisi kadinda😎
Wewe tenaa?? Sio ndio una trauma hadi wakuhurumiwa kabisa?Mungu akusaidie upone haraka hiyo trauma