Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh Asante kwa maelezoyaan iko hivi,
Kuna wanaume wasumbufu, hawaeleweki, au hawajali ktk mahusiano, sasa bint abiud ndo akasema ikifikia hivyo huwa hatazami nyuma anaachia ngazi, labda awe na pesa wa kutuma miamala ndo kidogo anaweza ku delay.
Mie ndo nkajibu, wa miamala huwa haachwi analizwa kimya kimya.
So huyu wa miamala unabaki kwake lakini unakuwa mguu nje ndani , Upo tu kwa ajili ya pesa zake ?
Sema ukipenda unaweza jikuta unabaki tu humo
Love is blind

uwahi


