Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
Hili jimbo bado halijapata mgombea?
Ulipotea kidogo. Kila kitu kiko salama?


shangaa na wwEti jmn vijana wa sikuhizi sijui wakoje
Hili jimbo bado halijapata mgombea?
Ulipotea kidogo. Kila kitu kiko salama?


shangaa na wwHahaha tafuta belts za kupunguza tumbo
Mi nataka kuongezeka kilo mkuuKama kuna mtu humu ana kg zaidi ya 70 na anataka kupungua tr 20 june, tuanze fasting na keto diet
Mlo wa jioni ni ndizi mbivu nusu tu,, na fasting hyo ni for 14 days
Siku 3 za kwanza itakuwa ngumu mno lakini on the 4th day baada ya ketosis kuanza itakuwa easy peasy
Kama u are pregnant au una matatizo ya kiafya challenge hii usifanye,,
Any volunteers for science??
Kwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda.Oh so mchawi siku za mwanzoni tu baada ya hapo unaendelea bila shida .
Okay thanks I'm insipired kwa kweli
Hyo ilikuwa last year,, this year nimegain kinyama,, from 65 to 78,, nataka nirudi 65,, baada ya miezi miwiliHahahha aisee kumbe yupo na discipline hivyo
Nimempenda bure
Hapo mtafikia malengo kwa kweli
Ooh okayUkishinda wiki ya kwanza ndo imetoka hyoo utaona ni kama maisha ya kawaida,, na ukawa unafanya cardio exercises total ya 180 minutes per week,, mwili huo unaisha,, shida ni maintainance ya huo mwili![]()
Umependeza sana.
If una any kind of stress ignore and override them kwanza,Mi nataka kuongezeka kilo mkuu
@Shimba Ya Buyenze
Kwakweli sina mkuuIf una any kind of stress ignore and override them kwanza,
mambo Christine,mtu chake
Kula but mlo wako content yako isizidi 50 grams of carbohydrate,,, hyo ni equivalent to 3 slices of breadOoh okay
Ah sawa nitafute mbadala maana siwezi kaa na njaa mie ..
Shauri yake inafutwa sio mudaShimba Ya Buyenze@Shimba Ya Buyenze
You sure?Kwakweli sina mkuu
Yaani Niko freeeee
Ah ziniache tuKwa hio upo tayari nguo zako uache nyengine uvalie mkanda.
Shwarii mkuu!mambo Christine