Ndyooooooh shouzzzzzz.
Hahaha afanye hivyo aiseemwambie coca kama ana wa miamala akimpiga kibuti anipasie hapa nipunguze huu umasikini mie!!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wa miamala haachwi, analizwa kimya kimya bhana.Analizwa vipi huyo ?
Sio ndo kuheshimiwa huyo sasa [emoji23]
Amen to thatamen amen !!
Mungu ni mwema naamini nitapona dear!
Vipi rafikiDuh[emoji849]
Hukuelewa hapo mwanzo convoy ilikuaje.Yaniii hata mie nimemshangaaje kha!!
Fuatilia toka convoy ya mwanzo utaelewa.Ooh kweli aisee
Coca atupe maelezo
Vipi ulienda hospital ??
Kimya kimya ndo ikoje ?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wa miamala haachwi, analizwa kimya kimya bhana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ukorofiiiiiii huo.mwambie coca kama ana wa miamala akimpiga kibuti anipasie hapa nipunguze huu umasikini mie!!!
Hakiitwi kitambi madam inaitwa Love Bubble[emoji1751][emoji23][emoji23]Ndio vinini hivi kwani!! !! Namie nataka kupunguza kitambi asee!
Ah mimi slow learner kwa hayoFuatilia toka convoy ya mwanzo utaelewa.
Shouzzzzzz wee tatizo hukuelewa, ndo maana umeshangaa.Huyo ni wa kumuheshimu sana shos!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kisa nn sasa nawee?Nilitaka kulia hapa ujue!!!! Asante
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan iko hivi,Kimya kimya ndo ikoje ?
Aisee kungwi tueleze hapo
Nimefafanua tayari.Ah mimi slow learner kwa hayo
Ngoja nishiie hapo [emoji23][emoji23]
Eating less than 50 gram of carbs per day to initiate ketosis process ( body using deposited fat as energy source instead of glycogen, sababu ya insufficient amount unayokula ya less than 50 grams per dayWhat is keto fasting?
Hujaelezea ujue...
Sasa naweza kuelewa ni kwa nini jimbo limepata mgogoro.Hahaaa
Yaani mtu unisumbue tena ukute hela yenyewe mpk niombe,sina muda!
Bora yule ambae miamala ninasoma tu bila kuomba,kidogo naweza nikatetemeka[emoji3][emoji3]
Kuimba kikubwa bwana wewe "kucheza na mic"Kuimba??