Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
Yeaa mkuuYou sure?
Yeaa mkuuYou sure?
Ooh utafikia tu malengoHyo ilikuwa last year,, this year nimegain kinyama,, from 65 to 78,, nataka nirudi 65,, baada ya miezi miwili

Hahhaha
What's your BMIKwakweli sina mkuu
Yaani Niko freeeee
I willOoh utafikia tu malengo
![]()
Napimaje sasaKula but mlo wako content yako isizidi 50 grams of carbohydrate,,, hyo ni equivalent to 3 slices of bread

Lakini kupungua kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi si nzuri kiafya.Ah ziniache tu
Suruali zenyewe zinanipwaya chini
Mkuu hii lugha ilikuja na meli,hebu uliza kwa kiswahiliWhat's your BMI
sijaelewaNaulizwa km sina stress![]()
Asante dearYes
Mambo
Unajua kuchagua rangi za nguo![]()
Nenda hospital kwanza check kama una hyperthyroidism au ciliac disease,,, kama BMI yako ni above 18.5 na huna any disorder tajwa hapo juu,, shift from 3 meals per day to 5,,Yeaa mkuu
Khaaa si nitakufa mwenzioNaomba nikugawie zangu japo 1/8 tu![]()

Planks, Russian twist,, na pull ups plus fasting ni fasta mnoNapimaje sasa
Okay thanks
Umesema vitambi tunafanyaje
Labda kwenye meals hapo!Nenda hospital kwanza check kama una hyperthyroidism au ciliac disease,,, kama BMI yako ni above 18.5 na huna any disorder tajwa hapo juu,, shift from 3 meals per day to 5,,