cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan nimecheka hapa mbavu cna.Anatutetea tusio na traaaako[emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan nimecheka hapa mbavu cna.Anatutetea tusio na traaaako[emoji16]
Hata mieAh mimi naitumia hivyo hivyo
Umezidisha wokovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui wananiogopa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Cheka tu hakuna namna[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan nimecheka hapa mbavu cna.
Nyakanga wenu nipooo hapa, kuwafunda mwali zangu [emoji178][emoji178][emoji178]Kungwi wetu huyo [emoji7]
Russian twistNdio vinini hivi kwani!! !! Namie nataka kupunguza kitambi asee!
PlanksNdio vinini hivi kwani!! !! Namie nataka kupunguza kitambi asee!
[emoji23][emoji23]wokovu huwa unazidi,coca[emoji119]Umezidisha wokovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aahaa kumbe!! Asante mkuu!Russian twist View attachment 2244870
Nenda YouTube andika majina hayo watakuonyesha jinsi ya kufanya mazoezi hayoNdio vinini hivi kwani!! !! Namie nataka kupunguza kitambi asee!
AnytimeAahaa kumbe!! Asante mkuu!
Hiyo jeans ulinunua wapi? Imepoa km mgane aliyekosa dira ya maisha, mbna haina amsha amsha? Hapa umeniangusha shouzzzzzz, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Shos usinijaze basi [emoji6]
Ah kwa kweliHata mie
Isinichoshe
Uwiiiih[emoji23][emoji23][emoji23]Cheka tu hakuna namna
Naimagine vile ntacheka mwenyewe kwa kudondokea pua🤣🤣🤭🤭🤭
hahahaha.tupia kdg mambo ya jimboniShwarii mkuu!
Niambieee
Funda mama tupone [emoji23]Nyakanga wenu nipooo hapa, kuwafunda mwali zangu [emoji178][emoji178][emoji178]
asante mamy!! NitachekiNenda YouTube andika majina hayo watakuonyesha jinsi ya kufanya mazoezi hayo
Au unaweza enda playstore au appstore ukadownload application ya workout au loose weight huko wanakueleza jinsi ya kufanya mazoezi yako na kuna reminders etc .
Utaachwa sana, badilika wee.[emoji23][emoji23]wokovu huwa unazidi,coca[emoji119]