Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 18,988
Nawewe katoe yako huko ulete!Wee niache, au sio picha yako? Ukute umetoa google.
Woiiiiiiiih lol
Nawewe katoe yako huko ulete!Wee niache, au sio picha yako? Ukute umetoa google.
Woiiiiiiiih lol
santeeeeeeeh!!!😘😘😘Kila siku huwa watu nawaambia, usiishi kwa kuwafurahisha watu wa nje, ishi ktk uhalisia wako na lililo ktk nafas yako kwa wakati husika.
Haya maisha ya watu watanionaje, nilishakataa na haitokuja kutokea kwangu.
Usinifukuze mkuu nipo humu kwaajili ya mahondawPhaller wewe nitakubebea panga nikufukuze humu😂😂😂😂
Tena ana muda mwingi wa kushona, mwezi mzima, na nimempa angalizo yeye awe buzzy na nguo za wengine afu ikikaribia kuchukua mie ndo ahangaike kunilipulia atavaa yeye na bibi yake, sitaki utani kabisaa, na nlimsisitiza sana, sasa yeye ajitoe ufahamu.fundi analo
!!








Nimenyoooka km rulaaaaaah,santeeeeeeeh!!!
Hauna mbambamba kabisa!!









Atakua makini shos nasubiria huo mshono mie!!Tena ana muda mwingi wa kushona, mwezi mzima, na nimempa angalizo yeye awe buzzy na nguo za wengine afu ikikaribia kuchukua mie ndo ahangaike kunilipulia atavaa yeye na bibi yake, sitaki utani kabisaa, na nlimsisitiza sana, sasa yeye ajitoe ufahamu.
![]()
Sasa unakataa nn?? Kisa tumekusifia ndo unajishua? MsieeeewNawewe katoe yako huko ulete!








Utaona hiyo siku, ntaitetemesha selfika.Atakua makini shos nasubiria huo mshono mie!!






Nakuaminia shos wauweeeehhhhh!!!😘😘😘 Hakika selfika itatetema!!Utaona hiyo siku, ntaitetemesha selfika.![]()
Hivi wewe ndio kungwi!!!😁ahsanteeee,
Mama malezi kwan lakini?
Nawe nisije kukutania ukaanzisha😁😁😁Usinifukuze mkuu nipo humu kwaajili ya mahondaw
Hapana huwa natumia busara kama za mahondaw!Nawe nisije kukutania ukaanzisha😁😁😁
Tena nyakanga kabisaaa, mwali wangu wote niliowashikia na kuwafunda wako ndoani.Hivi wewe ndio kungwi!!!![]()






Yeah sure. At the end of the day Kila mtu yupo responsible na maisha yake. If you decide you throw it away; hakuna wa kukuzuia.Yule mama ni sababu ya kifo chake mwenyewe, na ni sababu ya kutosikia mashauri ya wakubwa na wenye hekima alifanya shingo yake kuwa ngumu, sehemu kubwa ya jamii iliyokuwa imezunguka hadi some pastors walimshauri alikuwa na sehemu kubwa ya kupata faraja kwasababu ukweli ulikuwa unajulikana hata kama watu wangekuwa wanaongea alikuwa na mahala kujifichia
Alafu ishi kutokana na thamani yako, thamani yako na uhai wako usiwe guided na walimwengu na maneno yao. Kafa kapata nini, watoto wanabaki wakiwaa.. Ukondoo mwingi ni hasara
Lazima iteteme, sina jambo dogo mie,Nakuaminia shos wauweeeehhhhh!!!Hakika selfika itatetema!!




Unamikwaaara.Tena ana muda mwingi wa kushona, mwezi mzima, na nimempa angalizo yeye awe buzzy na nguo za wengine afu ikikaribia kuchukua mie ndo ahangaike kunilipulia atavaa yeye na bibi yake, sitaki utani kabisaa, na nlimsisitiza sana, sasa yeye ajitoe ufahamu.
![]()
DuuuhLazima iteteme, sina jambo dogo mie,
Ngoma naiweza haswaaa, sijapigiwa nacheza, nikipigiwa navua nguo kabisaa,
Coca km coca,![]()
Wanyaki hatunaga jambo dogo. Fundi atulie haswaaa; huo mtoko ooooh 🤣🤣🤣.Maandalizi yako poaaah, afu rangi ile nilivopekeka, had fundi kaniaminia mustard yellow, kasema ile iko poah mnooo, nkajisemea mama malezi hana jambo dogo, afu nimemuambia akiharibu atanilipa, sitaki kabisaa.
Hebu niondekee hapa😁😁😁Tena nyakanga kabisaaa, mwali wangu wote niliowashikia na kuwafunda wako ndoani.![]()